MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Ni utaratibu wa dunia nzima sema siku na muda wa kusali siyo wote jumamosi asubuhi, hata hapa nyumbani wapo wanasali jioni na siku tofauti na jumamosi . Tumsifu Yesu Kristo?Hapo Vatikani, Marekani, Ulaya, Sao Paulo, HongKong na maeneo mengine duniani wakatoliki huwa wanautamaduni Kama hapa nyumbani kukutana kila jumamosi asubuhi kusali .
Na Kama mtu hashiriki siku akifariki hapati Misa maalum kanisani?
Lidumu kabisa katoliki la mitume
Tunaazimisha miaka 50 ya JNNKMwaka huu kwa kusoma waraka wa masskofu.Hapo Vatikani, Marekani, Ulaya, Sao Paulo, HongKong na maeneo mengine duniani wakatoliki huwa wanautamaduni Kama hapa nyumbani kukutana kila jumamosi asubuhi kusali .
Na Kama mtu hashiriki siku akifariki hapati Misa maalum kanisani?
Lidumu kabisa katoliki la mitume
Swali lipo very specific, anaetakiwa kujibu ni mtu alie majuu kwa kile alichokiona ama kukisikia. Hatutegemea majibu kutoka Kazulamimba hapa.Ni utaratibu wa dunia nzima sema siku na muda wa kusali siyo wote jumamosi asubuhi, hata hapa nyumbani wapo wanasali jioni na siku tofauti na jumamosi . Tumsifu Yesu Kristo?
Kule kuna funeral companies na mapadiri wao, suala la kuzikina sio issue, ukiwa na bima yako.....kunacho sumbua wakatoliki wa Tanzania ni umasikini elimu duni na raho za kukomoana.Hapo Vatikani, Marekani, Ulaya, Sao Paulo, HongKong na maeneo mengine duniani wakatoliki huwa wanautamaduni Kama hapa nyumbani kukutana kila jumamosi asubuhi kusali .
Na Kama mtu hashiriki siku akifariki hapati Misa maalum kanisani?
Lidumu kabisa katoliki la mitume
Ni utaratibu wa dunia nzima sema siku na muda wa kusali siyo wote jumamosi asubuhi, hata hapa nyumbani wapo wanasali jioni na siku tofauti na jumamosi . Tumsifu Yesu Kristo?
Hivyo ndivyo unavyodhani au vipi bhanaNdiyo mkuu.
Kanisa Katoliki msingi wake upo kwa mtu mmojammoja ambaye kupitia sala na majitoleo huunda familia.
Familia huunda Jumuiya. Jumuiya huunda Kigango. Kigango huunda senta, senta huunda Parokia. Parokia huunda dekania.
Dekania huunda jimbo. Majimbo huunda Metropolitan. Muendelezo huenda hivyohivyo mpaka kuunda Kanisa Katoliki.
Japo muda na utaratibu hutofautiana kati ya Kanisa mahalia tofauti; mwenendo huu, pamoja na liturjia, huwa hivyo duniani kote bila kujali tofauti za kijamii, kijiographia, rangi, jinsia, n.k.
Hilo ndiyo Kanisa Moja, Takatifu, Katoliki na la Mitume.
Siyo tu kujumuika; hadi masomo kwa siku husika hufanana duniani kote.Swali lipo very specific, anaetakiwa kujibu ni mtu alie majuu kwa kile alichokiona ama kukisikia. Hatutegemea majibu kutoka Kazulamimba hapa.
Ulitakaje?Hivyo ndivyo unavyodhani au vipi bhana
Unaona utumwa wa dini kuliko utumwa unaojengwa na CCM na mifumo kandamizi?Moja ya utumwa mkubwa kwa waafrika basi ni DINI.
Africans have been totally brainwashed and religious indoctrinated.
Wapunguze michango kwenye hizo jumuiyaNdiyo mkuu.
Kanisa Katoliki msingi wake upo kwa mtu mmojammoja ambaye kupitia sala na majitoleo huunda familia.
Familia huunda Jumuiya. Jumuiya huunda Kigango. Vigango huunda Senta, Senta huunda Parokia. Parokia huunda Dekania.
Dekania huunda Jimbo. Majimbo huunda Metropolitan. Muendelezo huwa hivyohivyo mpaka kuunda Kanisa Katoliki.
Japo muda na utaratibu hutofautiana kati ya Kanisa Mahalia moja na nyingine; mwenendo huu, pamoja na liturjia, huwa hivyo duniani kote bila kujali tofauti za kijamii, kijiographia, rangi, jinsia, n.k.
Hilo ndiyo Kanisa Moja, Takatifu, Katoliki na la Mitume.
Kanisa hujengwa na waamini.Wapunguze michango kwenye hizo jumuiya
kanisa halijengwi na mtu mmoja.Wapunguze michango kwenye hizo jumuiya
Ukitaka vya bure sema utalipiwa michango yote kazi yako utakuwa ni kusali tu.Wapunguze michango kwenye hizo jumuiya