Tauceti Rigel
Member
- Mar 6, 2025
- 5
- 9
AFCON 2027 itakuwa ni aibu tupu. Mungu atupe uhai tu, utajionea mkuu..Hili jambo lililotokea lime ratibiwa na baadhi ya wanasiasa wenye ushawishi kwenye hizi timu... Unaweza ukajiuliza, inawezekana vipi mabaunsa wakawa na nguvu kiasi cha kuzuia timu isifanye mazoezi tena kwenye uwanja wa serikali?
Kuna muda nahisi TFF au TPBL hawako huru kufanya maamuzi muhimu ya kisoka kutokana na kuingiliwa na wanasiasa wenye nguvu na maslahi na hizi timu...