Hivi na Jezi za Real Madrid, PSG na Liverpool FC yangu nazo pia zina Picha za Maghorofa, Vifusi, Nyasi, Swala na Mafuriko ya Jangwani?

Jezi mbaya kusema kweli mapicha kila sehemu kama mabatiki au vitenge majumba nyasi mabanda ya kuku vichaka baa ndondi rede tenis kwa mwaka huu vinyesi FC mmebugi tuseme kweli sasa lile sanamu la posta linafata nini katika jezi jamani
Kwan Mo foundation ilifata nini nyuma 'matakon'
 
Kwan Mo foundation ilifata nini nyuma 'matakon'
Nyinyi mlikuwa mnaona raha kusema jezi yetu ina makorokoro wakati tunalipwa inaonekana jina la makorokoro mnalipenda sana milikuwa mnaona gere mkaamua muweke nanyi makorokoro jezi ina masanamu makaburi mitaro mabanda ya kuku ndondi netball sasa masoko vyoo vya uma hivi aliyedizin alikuwa anawachukuliaje nyie utopolo
 
Tulieni nyie vinyeo dawa iingie

[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]

Na Bado huu msimu pia wetu

Tutawahonga Tena muachie tuwanyuke
 
Tatizo la kubanwa mavi ukweni ndio hili sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…