Siku yoyote ile huwezi ukakimbia kifo. Popote ulipo kinakufata, hata uwe kwenye mahandaki madhubuti kiasi gani,kifo kinakufata tu.
Rais wetu kakimbia ikulu kuu, ni kwa sababu ya gonjwa la COVID-19, lakini nchi za wenzetu marais wapo ikulu kuu, na wapo ngangari.
Kifo huwezi kukikimbia hata siku moja, rudi ikulu uiendeshe nchi.