Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,793
Brace yourself like a man; I will question you, and you shall answer me. Job 38:3
Ile naingia kanisani paap! Naona kwaya ya wababa wameshona mashati ya vitenge, wamependeza kweli kweli!
Ghafla nasikia kuwa leo ni siku yetu wanaume kwa ajlii ya kusherehekea umoja wa wanaume, nikaona aibu kweli!
Yani nusura nikache ibada, ila nikakaza moyo nikajisemea, Wacha nione!
Eti kweli seriously wanaume wanahitaji umoja? Ina maana mwanaume anashindwa kustand as a one man army mpaka akimbilie kwenye umoja?
Mimi ninauchukulia umoja wa wanaume kama jambo la kudhaliisha mwanaume. Mwanaume ni mtu mwenye stamina. Na hata akikwama inabidi ahitaji msaada kimya kimya! Kujikusanya kwenye umoja ni kupotray image ya mwanaume as a weak person...
Ilipofika wakati wa kutoa sadaka ya kuchangia umoja wa wanaume, mimi nilikataa kwenda mbele kuchanga. The reason being simple and clear. Kutaka umoja huo wa aibu ufe haraka sana...