Hivi na mikoani kuna umja wa wanaume? Jana nimeona aibu sana kuwa mwanaume wa Dar!

Bora wewe umesema cha maana. Mijanaume mingi kujifanya much know inaweza kuyakabili matatizo na kujiamulia mambo yao binafsi bila ushauri mwisho wa siku wanaharibu tu..
huyu kuna maharahage kala sio kawaida kabisa

eti hata yeye anaona kaandika cha maana sana, kiukweli sijaona baya lolote hapo kuwa na ushirikiano
 
Afadhali wanaume wa kanisa lake wamejitambua.
We angalia mafunzo mengi ya maisha hasa ndoa mwanamke ndo anapewa mafunzo peke yake, mwanaume hafundishwi chochote. Mwisho wa siku unamkutaisha mwanamke aliyefundwa na mwanaume asiyefundwa imagine nini kitatokea hapo.
Semina nyingi siku hizi ni za kumuinua mwanamke. Wanaume wamekaa tu wakishangaa shangaa. Miaka 50 ijayo dunia itakuwa nzuri sana kwa upande wa kike, yetu macho!
 
amenishangaza kwa kweli huyu mtoa mada ila ni mawazo yake tuangalie wachangiaji wanaokuja.

huyu anaonekana ana mfumo dume kabisa, am sorry to say that
 
Mashati ya vitenge[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Back
Top Bottom