Hivi na mikoani kuna umja wa wanaume? Jana nimeona aibu sana kuwa mwanaume wa Dar!

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2016
Posts
8,658
Reaction score
15,793
Brace yourself like a man; I will question you, and you shall answer me. Job 38:3

Ile naingia kanisani paap! Naona kwaya ya wababa wameshona mashati ya vitenge, wamependeza kweli kweli!
Ghafla nasikia kuwa leo ni siku yetu wanaume kwa ajlii ya kusherehekea umoja wa wanaume, nikaona aibu kweli!
Yani nusura nikache ibada, ila nikakaza moyo nikajisemea, Wacha nione!
Eti kweli seriously wanaume wanahitaji umoja? Ina maana mwanaume anashindwa kustand as a one man army mpaka akimbilie kwenye umoja?
Mimi ninauchukulia umoja wa wanaume kama jambo la kudhaliisha mwanaume. Mwanaume ni mtu mwenye stamina. Na hata akikwama inabidi ahitaji msaada kimya kimya! Kujikusanya kwenye umoja ni kupotray image ya mwanaume as a weak person...
Ilipofika wakati wa kutoa sadaka ya kuchangia umoja wa wanaume, mimi nilikataa kwenda mbele kuchanga. The reason being simple and clear. Kutaka umoja huo wa aibu ufe haraka sana...
 
daaah Nichumu nibebike, umeharibikia wapi, umoja wa akina baba ni muhimu ili kukumbushana majukumu, kuelimisha vijana juu ya ndoa na uwajibikaji
 
Wanaume wakianzaa kuvaa share za vitenge hapo wanaunda umoja kimyakimya na wanaiga haya mambo kutoka kwa wanawake.
 
Wababa hasa wa Dar ni aibu ukiona wanakimbilia mwendokasi ili wapate seat, na kupanda bodaboda kisa kuwahi, pia kusuka nywere na kutoboa masikio, kuvaa milegezo. So sad!
 
Hama hilo eneo/mkoa mkuu. Natabiri makubwa yatawakuta.
Ha haa... Mkuu, itabidi nikukodi ukamchane live pastor wetu asitishe haya mambo...
Hata kama wanayaweka, basi bora yawe ya kificho kwa kuita SACCOSS ya wanaume. Ila sio umoja. A man doesn't need a unit like the one we have in our church...
 
Ha haa... Mkuu, itabidi nikukodi ukamchane live pastor wetu asitishe haya mambo...
Hata kama wanayaweka, basi bora yawe ya kificho kwa kuita SACCOSS ya wanaume. Ila sio umoja. A man doesn't need a unit like the one we have in our church...
Hapana mkuu. Nipo mbali(waswahili kwa kutoa udhuru hatujambo).La kufanya, kodi wakina mama mashankupe ya mjini na ngoma yao ya mdundiko wakawasute!
 
Huo ni mtazamo wako na Hakuna wa kukupinga katika hilo kwa kuwa ni haki yako!!!....

Lakini watu wanavyokuwa wamoja ndio wanazidi kuimarika na kustaaribika kwa kuelimishana kuhusu mambo mbali mbali yanayowahusu!!!.....

Hata huko mikoani kuna mambo yanayowaunganisha wanaume kwa mustakabali wa jamii yao!!!!

Bahati mbaya umeulekeza mtazamo wako kwenye mlengo wa kushoto!!!...

Lakini ingefaa kama ungetuliza akili na kufikiria jambo hilo vyema!!....

Kuwa mwanaume siyo kuwa unaweza au unatakiwa kufanya mambo yote pekee yako hata kama yako nje ya uwezo wako bali kwa kushauriana na kueleweshana!!!!
 
Heading : Hivi na mikoani kuna umja wa
wanaume? Jana nimeona aibu sana
kuwa mwanaume wa Dar!


Id : Nichumi Nibebike.
 
jaman kwa akili yangu sijaona ubaya kwa wababa kuwa na umoja

naamini umoja ni nguvu na utengano ni dhaifu...no one knows/have everything, so kuweka mawazo pamoja huunda kitu kikubwa sana.

Nawakilisha
 
daaah Nichumu nibebike, umeharibikia wapi, umoja wa akina baba ni muhimu ili kukumbushana majukumu, kuelimisha vijana juu ya ndoa na uwajibikaji
Bora wewe umesema cha maana. Mijanaume mingi kujifanya much know inaweza kuyakabili matatizo na kujiamulia mambo yao binafsi bila ushauri mwisho wa siku wanaharibu tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…