DissDotCom
JF-Expert Member
- Mar 31, 2014
- 395
- 268
Habari zenu wakuu, hivi unachukuliaje anapokuja ndugu yako kukutembelea kisha anaanza kuulizia bei ya kila kitu anachokiona ndani, uwe na TV utaulizwa bei yake...uwe na friji utaulizwa bei yake...wengine hadi viatu vya mke wako wataulizia ulimnunulia bei gani...
hivi hao ndugu wanatoka mkoa gani zaidi
hivi hao ndugu wanatoka mkoa gani zaidi