Hivi na ninyi mna ndugu kama hawa?

Hivi na ninyi mna ndugu kama hawa?

DissDotCom

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2014
Posts
395
Reaction score
268
Habari zenu wakuu, hivi unachukuliaje anapokuja ndugu yako kukutembelea kisha anaanza kuulizia bei ya kila kitu anachokiona ndani, uwe na TV utaulizwa bei yake...uwe na friji utaulizwa bei yake...wengine hadi viatu vya mke wako wataulizia ulimnunulia bei gani...

hivi hao ndugu wanatoka mkoa gani zaidi
 
Watajie bei ya chini ili awe na kihelehele cha kwenda kuuliza akirudi mikono nyuma hawezi uliza tena
Habari zenu wakuu, hivi unachukuliaje anapokuja ndugu yako kukutembelea kisha anaanza kuulizia bei ya kila kitu anachokiona ndani, uwe na TV utaulizwa bei yake...uwe na friji utaulizwa bei yake...wengine hadi viatu vya mke wako wataulizia ulimnunulia bei gani...

hivi hao ndugu wanatoka mkoa gani zaidi
 
Habari zenu wakuu, hivi unachukuliaje anapokuja ndugu yako kukutembelea kisha anaanza kuulizia bei ya kila kitu anachokiona ndani, uwe na TV utaulizwa bei yake...uwe na friji utaulizwa bei yake...wengine hadi viatu vya mke wako wataulizia ulimnunulia bei gani...

hivi hao ndugu wanatoka mkoa gani zaidi
Kanda ya Ziwa hasa Chato. Huoni jamaa anavyoulizia na kuharibu vile walivyofanya watangulizi wake.
 
Kuna aliyekuwa anamsomesha mwanae English Medium. Shangazi yake alikuja kuugulia kwake pamoja na wasaidizi. Walimuuliza ada ya mtoto aliwajibu ni milioni 10 kwa mwaka.

Shangazi kusikia ile ada alitaka na nyumba yake ibadilishwe bati.

Alipata jibu la haraka kuwa kuna mzungu anamsomesha walikutana kanisani
 
Back
Top Bottom