DissDotCom
JF-Expert Member
- Mar 31, 2014
- 395
- 268
Habari zenu wakuu, hivi unachukuliaje anapokuja ndugu yako kukutembelea kisha anaanza kuulizia bei ya kila kitu anachokiona ndani, uwe na TV utaulizwa bei yake...uwe na friji utaulizwa bei yake...wengine hadi viatu vya mke wako wataulizia ulimnunulia bei gani...
hivi hao ndugu wanatoka mkoa gani zaidi
kongo kinshasaaaakwani hao wako wametoka mkoa gani mkuu ?
hiyo vita mkuuHao ni wanyakyusa!
hahaaaa kweli hiyo ndio dawaWatajie bei ya chini ili awe na kihelehele cha kwenda kuuliza akirudi mikono nyuma hawezi uliza tena
jiangalie mkuu .Hao ni wanyakyusa!
kwanini mkuujiangalie mkuu .
ahahaaaa haaaajiangalie mkuu .
kesi yako broChato
Ndukiiiii πββοΈπββοΈπββοΈ
Kanda ya Ziwa hasa Chato. Huoni jamaa anavyoulizia na kuharibu vile walivyofanya watangulizi wake.Habari zenu wakuu, hivi unachukuliaje anapokuja ndugu yako kukutembelea kisha anaanza kuulizia bei ya kila kitu anachokiona ndani, uwe na TV utaulizwa bei yake...uwe na friji utaulizwa bei yake...wengine hadi viatu vya mke wako wataulizia ulimnunulia bei gani...
hivi hao ndugu wanatoka mkoa gani zaidi
basi itakuwa ni hao hao wakongomani, maana tz hawapo wa hivyokongo kinshasaaaa