Hivi na ninyi mna ndugu kama hawa?

Hii ni wewe .bisha!!
 
Dah yani bwana kitego ndo ume amua kuja kunitangaza adi uku..mi nli ulizia bei ili nijue tu dah siji ten@ kwako[emoji19]
 
Kuna mambo hutakiwi kutaja bei yake halisi.
 
Mkaza mjomba umenichekesha sana ujue....Yaani ndugu ukiwaonyesha mambo mazuri sio kama wataku admire na kukupongeza bali watatani tu wavichukue viwe vyao au basi tu vikutoke uwe kama wao

Shangazi badala ya kushukuru kwa kupokelewa yeye na wasaidizi na akauguzwa hapo bado haridhiki na anaona kwanini mtoto wa kaka asimpe yeye hizo pesa za kusomesha!

Hua naikubali signature ya Nyani Ngabu inayosema "Miafrika ndivyo tulivyo". Katika jamii zingine za kiafrika waweza kufanyiwa hata ushirikina ili neema uliyokua nayo ikutoke hata kama hao ndugu hawataipata wao. Hicho ndio kinaitwa kijicho(kule Bonde na Lusanga si mnakijua Mkaza Mjomba?) au husda ya ndugu aisee, ni uchawi kabisaa huo
 
Moja kati ya tabia huwa siipendi ni kuulizwa mshahara wangu, bei ya gari langu, pesa niliyotumia kujenga nyumba yangu. Huwa nazichukulia kama tabia za hovyo sana.

Halafu kuna ile tabia nyingine ya kuingia ndani na kuanza kukagua kagua vitu. Mara unataka uanze kupekua jokofu, mara unataka kukagua vyumba. Kuna wengine wakiona umepanga mavazi anaanza kujaribu na kung'ang'ania.

Tabia kama hizi ukizileta kwangu nakufukuza mchana kweupe. Usivuruge utaratibu niliowawekea watoto wangu.
 
Bora huyo alikuwa na jibu la fasta na lina sound kinoma
Sasa ukutane na mwenzake na mie ushalitibua halafu pa kuchepukia huna
Utajibeba
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23]
 
hahaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…