Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Na akikupa hela ukamnunulie je?Watajie bei ya chini ili awe na kihelehele cha kwenda kuuliza akirudi mikono nyuma hawezi uliza tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na akikupa hela ukamnunulie je?Watajie bei ya chini ili awe na kihelehele cha kwenda kuuliza akirudi mikono nyuma hawezi uliza tena
Hii ni wewe .bisha!!Kuna aliyekuwa anamsomesha mwanae English Medium. Shangazi yake alikuja kuugulia kwake pamoja na wasaidizi. Walimuuliza ada ya mtoto aliwajibu ni milioni 10 kwa mwaka.
Shangazi kusikia ile ada alitaka na nyumba yake ibadilishwe bati.
Alipata jibu la haraka kuwa kuna mzungu anamsomesha walikutana kanisani
Kuna mambo hutakiwi kutaja bei yake halisi.Kuna aliyekuwa anamsomesha mwanae English Medium. Shangazi yake alikuja kuugulia kwake pamoja na wasaidizi. Walimuuliza ada ya mtoto aliwajibu ni milioni 10 kwa mwaka.
Shangazi kusikia ile ada alitaka na nyumba yake ibadilishwe bati.
Alipata jibu la haraka kuwa kuna mzungu anamsomesha walikutana kanisani
Mkaza mjomba umenichekesha sana ujue....Yaani ndugu ukiwaonyesha mambo mazuri sio kama wataku admire na kukupongeza bali watatani tu wavichukue viwe vyao au basi tu vikutoke uwe kama waoKuna aliyekuwa anamsomesha mwanae English Medium. Shangazi yake alikuja kuugulia kwake pamoja na wasaidizi. Walimuuliza ada ya mtoto aliwajibu ni milioni 10 kwa mwaka.
Shangazi kusikia ile ada alitaka na nyumba yake ibadilishwe bati.
Alipata jibu la haraka kuwa kuna mzungu anamsomesha walikutana kanisani
Bora huyo alikuwa na jibu la fasta na lina sound kinomaKuna aliyekuwa anamsomesha mwanae English Medium. Shangazi yake alikuja kuugulia kwake pamoja na wasaidizi. Walimuuliza ada ya mtoto aliwajibu ni milioni 10 kwa mwaka.
Shangazi kusikia ile ada alitaka na nyumba yake ibadilishwe bati.
Alipata jibu la haraka kuwa kuna mzungu anamsomesha walikutana kanisani
Mzee Rrondo moja kati ya tabia zinazonikera ni hizi hapa yani.Kuna mambo hutakiwi kutaja bei yake halisi.
Kuna thread niliweka huku kuhusu mtu anakuja kwako anataka kujua kila kitu bei gani na umenunua wapi, wengi hawakuniekewa.Mzee Rrondo moja kati ya tabia zinazonikera ni hizi hapa yani.
Kilifata niniNiliwahi kuulizwa...na baada ya kujibu nakijua mwenyewe kilichofuatwa
Hujaulizwa 'mpaka hapa umetumia bei gani'?Kuna nyumba nilisimamia ujenzi. Aisee watu wana mswali acha. Akipita anakuuliza hili ndo litakuwa jiko au choo? Ngazi fundi la kuharibia kaweka step kubwa sana....
hahaa yaani wakyusa hawafai au !??hiyo vita mkuu
hahaaKuna aliyekuwa anamsomesha mwanae English Medium. Shangazi yake alikuja kuugulia kwake pamoja na wasaidizi. Walimuuliza ada ya mtoto aliwajibu ni milioni 10 kwa mwaka.
Shangazi kusikia ile ada alitaka na nyumba yake ibadilishwe bati.
Alipata jibu la haraka kuwa kuna mzungu anamsomesha walikutana kanisani
Wabongo tuna tabia ya kuchokonoana sana sijui kwaniniHujaulizwa 'mpaka hapa umetumia bei gani'?
Wakimupa pesa ukawanunulie pale uliponunua wewe je utawajibu nini?hahaaaa kweli hiyo ndio dawa
😀Kuna nyumba nilisimamia ujenzi. Aisee watu wana mswali acha. Akipita anakuuliza hili ndo litakuwa jiko au choo? Ngazi fundi la kuharibia kaweka step kubwa sana....