R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 44,629 Reaction score 83,056 Aug 15, 2022 #1 Hivi na USA/Western Europe wana kwaya kama ninazoziona Kenya/Tanzania wakati wa kampeini za urais/kutangaza mshindi? Just for curiosity! Maana naona kqama hayo yamepitwa na wakati.
Hivi na USA/Western Europe wana kwaya kama ninazoziona Kenya/Tanzania wakati wa kampeini za urais/kutangaza mshindi? Just for curiosity! Maana naona kqama hayo yamepitwa na wakati.
J JokaKuu Platinum Member Joined Jul 31, 2006 Posts 34,188 Reaction score 62,952 Aug 15, 2022 #2 ..hawana mambo ya kwaya ktk shughuli za KISERIKALI.
Proved JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 32,639 Reaction score 42,908 Aug 15, 2022 #3 Liberal democracies hazihitaji hizo mbwembwe.
J JokaKuu Platinum Member Joined Jul 31, 2006 Posts 34,188 Reaction score 62,952 Aug 15, 2022 #4 Proved said: Liberal democracies hazihitaji hizo mbwembwe. Click to expand... ..pia hawana itifaki za kusalimiana na kutaja msururu wa vigogo waliohudhuria hafla husika.
Proved said: Liberal democracies hazihitaji hizo mbwembwe. Click to expand... ..pia hawana itifaki za kusalimiana na kutaja msururu wa vigogo waliohudhuria hafla husika.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Aug 15, 2022 #5 Ndiyo...
Inside10 JF-Expert Member Joined May 20, 2011 Posts 29,909 Reaction score 32,414 Aug 15, 2022 #6 Hapana wanakaswida na madufu.
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 20,419 Reaction score 39,217 Aug 15, 2022 #7 Huwa wanapiga taarabu na vile vibiti vya singeli..jaribu kufauatiria utawaona waki perform . #MaendeleoHayanaChama
Huwa wanapiga taarabu na vile vibiti vya singeli..jaribu kufauatiria utawaona waki perform . #MaendeleoHayanaChama
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 44,629 Reaction score 83,056 Aug 15, 2022 Thread starter #8 Inside10 said: Hapana wanakaswida na madufu. Click to expand... ngoja waje wenye imani hiyo utakoma