Una tumia itel toleo gani ?Niende moja kwa moja kwenye mada.
Kuna wakati ninapotaka kujibu au kuchangia hoja mbalimbali zinazoibuliwa na wadau humu JF,
.kuna kitu huwa kinanikwaza.
Unakuta kila nikijibu, mara neno nililoandika linafutwa au hata sentensi nzima inafutwa hata kabla ya kumaliza kuandika.
Hii najiuliza ni kifaa changu kina shida au kuna kamchezo kanafanyika?
.Hali hii ni kwangu tu, au na wengine huwatokea?
🤣🤣🤣Una tumia itel toleo gani ?
Tuiite screening effect mkuu!Niende moja kwa moja kwenye mada.
Kuna wakati ninapotaka kujibu au kuchangia hoja mbalimbali zinazoibuliwa na wadau humu JF,
.kuna kitu huwa kinanikwaza.
Unakuta kila nikijibu, mara neno nililoandika linafutwa au hata sentensi nzima inafutwa hata kabla ya kumaliza kuandika.
Hii najiuliza ni kifaa changu kina shida au kuna kamchezo kanafanyika?
.Hali hii ni kwangu tu, au na wengine huwatokea?
Sentensi nzima itafutwaje sasa wakati hata kabla hujamaliza kuandika? Sentensi inaweza kufutwa ukishaipost tu,hata sentensi nzima inafutwa hata kabla ya kumaliza kuandika.
Umejiunga lini JamiiForums?Niende moja kwa moja kwenye mada.
Kuna wakati ninapotaka kujibu au kuchangia hoja mbalimbali zinazoibuliwa na wadau humu JF,
.kuna kitu huwa kinanikwaza.
Unakuta kila nikijibu, mara neno nililoandika linafutwa au hata sentensi nzima inafutwa hata kabla ya kumaliza kuandika.
Hii najiuliza ni kifaa changu kina shida au kuna kamchezo kanafanyika?
.Hali hii ni kwangu tu, au na wengine huwatokea?
Uwe unakuja PM nakuonyesha post yako ilipopelekwa,ninao huo ujuzi.Mm Huwa naona notification kuwa "your post (in ... thread) has been moved in another thread"
Cha ajabu hiyo thread inakopelekwa hiyo post yangu Huwa haitajwi...!!
Hawa mod ni madafaka tu..
Na kama ni Demu najua utatumia fursa hiyo hiyo pia Kumtongoza ili umalize kabisa Shughuli mapema. Haiombwi hivyo.Uwe unakuja PM nakuonyesha post yako ilipopelekwa,ninao huo ujuzi.
Nshakutumia namba yangu pm nicheki...Uwe unakuja PM nakuonyesha post yako ilipopelekwa,ninao huo ujuzi.
Hii ni kama ile ya waganga wa kienjeji Mkuu.Na kama ni Demu najua utatumia fursa hiyo hiyo pia Kumtongoza ili umalize kabisa Shughuli mapema. Haiombwi hivyo.
Nimeiona ngoja niisave,tutazidi kuwasiliana,ila naona GENTAMYCINE eti ananiambia "Haiombwi hivyo" ni kweli nimekosea katika kuiomba au nipo kwenye right track?Nshakutumia namba yangu pm nicheki...
Nimeiona ngoja niisave,tutazidi kuwasiliana,ila naona GENTAMYCINE eti ananiambia "Haiombwi hivyo" ni kweli nimekosea katika kuiomba au nipo kwenye right track?
Nashukuru sana...nilikuwa napata shida kweli..Nimeiona ngoja niisave,tutazidi kuwasiliana,ila naona GENTAMYCINE eti ananiambia "Haiombwi hivyo" ni kweli nimekosea katika kuiomba au nipo kwenye right track?
Nae kajaa kabisa katika 18 ili aombwe kweli? Haya Mkuu malizana nae kisha utasema vipi Pemba Kwetu nae anaenda?Nimeiona ngoja niisave,tutazidi kuwasiliana,ila naona GENTAMYCINE eti ananiambia "Haiombwi hivyo" ni kweli nimekosea katika kuiomba au nipo kwenye right track?
Ndio naongea nae kwa njia ya simu muda huu,nitaleta mrejesho kule kwenye Uzi wa rikiboyNae kajaa kabisa katika 18 ili aombwe kweli? Haya Mkuu malizana nae kisha utasema vipi Pemba Kwetu nae anaenda?
Nani anafuta maandishi kabla hujamaliza kuandika?Ndio mdudud gani?
.Sijauliza habari za wadudu hapa, tumia akili.