Hivi na wewe ni teja wa Jamiiforums kama mimi

bigmind

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2015
Posts
12,457
Reaction score
12,689
Jamani kuna uteja/ughaibu mwingine wa ajabu wangu huu kupatwa na alostol ya kuingia jf kila mara naona sasa umenizidia msaada, natamani niache ila nashindwa...!
Addiction mbaya sana hii, na nyie mko hivi??
 
Moderator nisaidie kusahihisha heading
 
Moderators piga ban uyu akapone maradhi yake kwanza
 
Nitawashitaki siyo niache kwa kulazimishwa..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…