Jamani kuna uteja/ughaibu mwingine wa ajabu wangu huu kupatwa na alostol ya kuingia jf kila mara naona sasa umenizidia msaada, natamani niache ila nashindwa...!
Addiction mbaya sana hii, na nyie mko hivi??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.