Hivi na wewe ulikuwa na akili kama zangu?

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,030
Reaction score
20,391
Nilipo kua na Akili za kitoto nilikua nawaza zile sauti za Mbu usiku ndo sauti ya Nzi mchana.

Yaani hapo nilikua najua Nzi wakati wa usiku ndo hubadilika na kua Mbu maana sauti ndo ilikua Kama ile tu.

Je, wewe Ni Akili gani za kitoto unakumbuka?
 
Mimi bwana kwenye redio,yule mtu anaeongea kwenye redio kaingiaje mlendani?[emoji23]

Unajua niliteseka sana kujua uyo mtu kaingiaje ndani ya redio,alafu uwaanatoka muda gani mpaka nashindwa kumuona akitoka!![emoji23]
 
Umenikumbusha kipindi nasikiliza Radio nikiagizwa nawaambia wazime radio ili kitu nilicho kua nasikiliza kisiendeele yaani kisimame Hadi nirudi.
 
Asikwambie mtu mi nlikuwa najuaga wale wanauawa kwenye movie ni watu kweli nlikuwa nasemaga sintakubali wauawe Tena nikimwona adui nawash2a
Sasa Kuna cku naangalia movie mvua c ikaanza kunyesha nkaenda waambia wajifiche mvua itawakuta wakakimbia kweli asee cku nzima nlikuwa nacheka nimewaokoa watu na mvua
 
Hahahaha ngoja nikanywe na maji
 
Mimi bwana kwenye redio,yule mtu anaeongea kwenye redio kaingiaje mlendani?[emoji23]

Unajua niliteseka sana kujua uyo mtu kaingiaje ndani ya redio,alafu uwaanatoka muda gani mpaka nashindwa kumuona akitoka!![emoji23]
Unaonekana umekulia bushi sana
 
Mi nlipokua nakua, nlikua najua wanawake wazuri nliojifundishia kupiga nyeto kama Rihanna na Beyonce walikua hawaendi kujisaidia haja kubwa.

Haja kubwa nlijua ni kwaajili ya wanawake wabaya tu.
 
Back
Top Bottom