Hivi Najma wa EATV kaolewa?

Hivi Najma wa EATV kaolewa?

Sijawahi kumuona kasimama, kumbe ana mipaja mizuri. Ila ana meno mengi sana. Nahisi atakuwa na meno 68 huyu.

Ukilinganisha na Bhoke kweli ni mzuri. Japo nahisi kama huu uzi kauanzisha mwenyewe aone watu wanamchukuliaje baada ya Bhoke kunangwa.
 
Ule ufeminist wake atakuharibia sana familia (watoto)wale acha waje kuwa vikongwe wanaharakati kule Tawla
 
Ana mguu wa bia na bastola kuhusu sura sio nzuri ila ni presentable[emoji16][emoji1][emoji16][emoji1][emoji1][emoji1][emoji16][emoji1][emoji16][emoji1]
 
Natokea kumkubali sana huyu dada, ni mcheshi halafu ni anapenda comedy fulani.

Kwakweli huwa nampenda na nahisi li moyo limemudondokea. Je, kaolewa?

View attachment 2534367

Mmmh putty nyingi sana hii [emoji28]
7ab32cf8-8182-4484-be47-7da035081329.jpg
 
Sijawahi kumuona kasimama, kumbe ana mipaja mizuri. Ila ana meno mengi sana. Nahisi atakuwa na meno 68 huyu.

Ukilinganisha na Bhoke kweli ni mzuri. Japo nahisi kama huu uzi kauanzisha mwenyewe aone watu wanamchukuliaje baada ya Bhoke kunangwa.
Mhhhh!
 
Kwenye mkutano mkuu wa mwaka jana tulikubaliana kwamba atuoi. Masharti kuzingatiwa.
 
Back
Top Bottom