Hivi namba za NIDA kwa tuliojaza Ajira Portal tangu zamani tunaziweka sehemu gani?

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2016
Posts
4,580
Reaction score
7,943
Habari waungwana?

Kuna nafasi ya kazi nimeiona utumishi, nataka kuiomba but nasikia siku hizi ID au namba za NIDA ni muhimu katika kujaza Ajira Portal. Mimi nilijaza kitambo, je naweza kuomba nafasi mpya bila kuweka number za NIDA? Kama ninataka kuziweka naweka sehemu gani?

Asanteni.
 
Naomba unitag wakikujibu mkuu. Thanks.
 
Habari waungwana?

Kuna nafasi ya kazi nimeiona utumishi, nataka kuiomba but nasikia siku hizi ID au namba za NIDA ni muhimu katika kujaza Ajira Portal. Mimi nilijaza kitambo, je naweza kuomba nafasi mpya bila kuweka number za NIDA? Kama ninataka kuziweka naweka sehemu gani?

Asanteni.
Edit taarifa zako
 
Iyo system walisitisha kwa muda hakuna sehemu ya kujaza namba ya NIDA kwa sasa muhimu siku interview uende na kitambulisho chako husika
 
Hiyo sehemu haipo lakini wewe omba kazi kama una vigezo vyote kulingana na Tangazo husika watakuita kwenye usaili na ukifaulu usahili watakupangia kituo chako cha kazi.Mimi nimeomba mwezi uliopita bila kuweka hizo namba za NIDA na nimeitwa kwenye usaili japo sijaweza kwenda kushiriki interview.
 
Issue kupokeaa Simu. Wako busy kuliko watu wa Tigo. Ukiwaandikia e-mail hapo majibu itabidi usubiri foleni

Mkuu kuna hizi kazi walizoweka wiki hii za DDC mbona sijaona address tunaandika ipi au hawajaweka mkuu.
 
Katibu mkuu
Sekretarieti ya ajira
S.l.p 63100
Dar es salaam

Thanks a lot bro...!

Halafu nina tatizo jingine mkuu. Naomba unisaidie app ambayo inaweza ku-sign pdf kwenye simu instead ya kuwa naenda internet cafe ku-type barua then ni-sign ni bora kutumia the easiest way kumaliza kwenye simu tu moja kwa moja bro. Thanks.
 
Back
Top Bottom