Bonde la Baraka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 4,580
- 7,943
Habari waungwana?
Kuna nafasi ya kazi nimeiona utumishi, nataka kuiomba but nasikia siku hizi ID au namba za NIDA ni muhimu katika kujaza Ajira Portal. Mimi nilijaza kitambo, je naweza kuomba nafasi mpya bila kuweka number za NIDA? Kama ninataka kuziweka naweka sehemu gani?
Asanteni.
Bado chiefNaomba unitag wakikujibu mkuu. Thanks.
Bado chief
Edit taarifa zakoHabari waungwana?
Kuna nafasi ya kazi nimeiona utumishi, nataka kuiomba but nasikia siku hizi ID au namba za NIDA ni muhimu katika kujaza Ajira Portal. Mimi nilijaza kitambo, je naweza kuomba nafasi mpya bila kuweka number za NIDA? Kama ninataka kuziweka naweka sehemu gani?
Asanteni.
Ngoja nifanye hivyo. Hamna namnaEdit taarifa zako
Daaaaah kwani pale kwenye portal hakuna namba za Utumishi mkuu...?
Wewe hufai kupata kazi serikalini kichwa chako kimejaa mapovu! Utatuharibia ofisi.
Mbona Avartar yako ya kizee sana? Kama karibuni unatutoka??
Iyo system walisitisha kwa muda hakuna sehemu ya kujaza namba ya NIDA kwa sasa muhimu siku interview uende na kitambulisho chako husikaHabari waungwana?
Kuna nafasi ya kazi nimeiona utumishi, nataka kuiomba but nasikia siku hizi ID au namba za NIDA ni muhimu katika kujaza Ajira Portal. Mimi nilijaza kitambo, je naweza kuomba nafasi mpya bila kuweka number za NIDA? Kama ninataka kuziweka naweka sehemu gani?
Asanteni.
Iyo system walisitisha kwa muda hakuna sehemu ya kujaza namba ya NIDA kwa sasa muhimu siku interview uende na kitambulisho chako husika

Issue kupokeaa Simu. Wako busy kuliko watu wa Tigo. Ukiwaandikia e-mail hapo majibu itabidi usubiri foleni
Katibu mkuuMkuu kuna hizi kazi walizoweka wiki hii za DDC mbona sijaona address tunaandika ipi au hawajaweka mkuu.
Katibu mkuu
Sekretarieti ya ajira
S.l.p 63100
Dar es salaam