Hivi nana hasa mwenye mamlaka na dhamana ya watuhumiwa wakiwa mbele ya mahakama?

Hivi nana hasa mwenye mamlaka na dhamana ya watuhumiwa wakiwa mbele ya mahakama?

comte

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
9,019
Reaction score
6,825
Kheri ya EID.

Nitafurahi kama tutasaidiana kutafuta ufumbuzi hasa wa nani ana mamlaka na dhamana ya mtuhumiwa awapo mbele ya mahakama.

Natanguliza shukrani
 
Hakimu / jaji , Polisi au askari magereza anakuwa kama watch man tu
 
Back
Top Bottom