Hakika hakika...Yaani una maanisha medula oblongata... head office πβΊοΈ
Kaka angu huyu before hajaondoka dar ntatafuta siku tuyapige majii ya dhahabu pia kubadilishana mawili matatu.
SECRETARY BIRD
Monetary doctor
MENEMENE TEKERI NA PERESI
Mkuuu ile kampani yakooo ndo inakuwa mbaya na ndivo ilivo broooHakika.. industry yoyote inayohusu burudani kuanzia mziki ,filamu na fashions kuna watu wenye tabia odds sana .. kama homosexuals ,watumiaji wa madawa ya kulevya,wasiokuwa na maadili n.k. huko sasa ukijiingiza kama ulikuwa innocent unatoka na tabia nyingine ambazo ni hatarishi sana.. hiki kitu nakiona sana kwenye hizi industry na sijui kwanin hazina uangalizi wa karibu
Kanenepa sana uso na mwili ule uzuri haupo tena, dah huyo demu alifanya mi na mademu wembamba tuwe hiviπ―Anaishi nje ila mara moja au mbili nishakutana naye mikocheni mtaa fulani anakoishi sijui ni dada yake sijui mdogo wake .
Ila kaka lile jicho lake kama akinitizama vizuri leo ,namuhakikishia kukopa tena benki ili afurahi na moyo wake
Mkuu ungemfuata na kumwambia ukweli wako, kilichokufelisha ni kumsubiri akujue kwanza.Dah jasusi umenikumbusha hizi nyimbo wacha nizitafute .
Nilikuwa nampenda sana huyo dada kama angetokea kunijua nahisi ningemuoa kabisa ila ndiyo vile hakupata bahati ya kunijua mimi
Inaitwa "U hali gani" /mboni ichafukapo jicho huwa mashakani ni mbali wewe ulipo na sijui uhali gani/Dah ππππ¨ asante mdau.. umemtaja huyu prodyuza alan mapigo nikakumbuka kazi njema tena ya Q chila nimesahau jina anayosema angekua na mabawa angeruka kama ndege
Tunalinda brand kaka ππMkuu ungemfuata na kumwambia ukweli wako, kilichokufelisha ni kumsubiri akujue kwanza.
Mimi ningemfuata angenikataa sawa tu π.Tunalinda brand kaka ππ
Allan mbuji mapigo ndiye kwa kiasi kikubwa alihandisi shajala ya ray c. Ya nataka kuwa na wewe milele.Wadau nataka kufahamu tu nani alikuwa nyuma ya kazi njema za huyu mrembo Ray c kama vile Na wewe milele, umenikataa n.k
nadhan kama sjakosea ni mikaWadau nataka kufahamu tu nani alikuwa nyuma ya kazi njema za huyu mrembo Ray c kama vile Na wewe milele, umenikataa n.k
Wadau nataka kufahamu tu nani alikuwa nyuma ya kazi njema za huyu mrembo Ray c kama vile Na wewe milele, umenikataa n.k
Ni allan mapigo.
Wadau nataka kufahamu tu nani alikuwa nyuma ya kazi njema za huyu mrembo Ray c kama vile Na wewe milele, umenikataa n.k