ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,304
Mbona kama katukomesha?yaani mambo yanayochoma kj zetu yanasikitisha.Aliyetuloga kafa tumebaki na roho mbaya tu
Nisikubishie kwa kuwa umesema mara nyingi(siyo zote)lakini bado natatizwa na faida ninayoipata mchoma chipsi mimi kufurahia MD kufukuzwa kazi. Maana bado naiona future yake ya maana tu wakati mie nishapoteza mteja.Na hata kiimani mbona haipendezi!mara nyingi wanaowacheka wengine ni wale walala hoi