Hivi nani mwingine anakereka na hili swali toka kwa wife?

Wife zamani akiniiuliza nilikuwa namjibu pika chochote,, nilivoona anaendelea siku moja nikamwambia pika mchemsho, akatabasam akasepa,, alivorudia siku nyingine nikamwambia pika nyama choma na ugali.

Siku hizi haniulizi tena.
Na huwa tunauliza vile we care about you tupike mpendacho ukiona huulizwi kakuchukulia poa Bora liende
 
Leo nakula mbususu na wewe utakula tango,
Huo mchanganyiko unaitwa mgegedo
 
Mie nakula chochote uzuri sie tumefunzwa kula chochote kinachopikwa in the day toka utotoni!

Katika vitu ambavyo niligundua sipendi ni dagaa kauzu, kabichi, mchicha, magimbi na ndizi! Yani ukipika chakula nje ya hivyo ntakula tu sina tatizo.
Usizitaje ndizi basi unazionea!ila hapo kwenye dagaa na jamii yake ndo umeongea mimi hupenda kuwambia watu kwamba dagaa sio mboga
 
Ni swali tu la kimahaba, ili kujua bwana anapenda chakula gani kati ya vilivyopo.
 
Spendi hili swali na nilishamwambia wife mara kibao lakini hataki kuacha kuniuliza uliza sijui nifanyeje mimi!
yaani hata nikiwa job unanipigia simu kuniuliza hivyo! Hivi kwani huewezi pika tu chakula nikakuta kimepikwa yaani mpaka nitoke job ninajua kwamba home kuna wali maharage leo! daah inabia sana!
 
Na mimi nimesema hivyo. Baba yangu hakuwa mpenzi wa nyama, labda za aina chache sana na sio mchuzi, na usithubutu kumpikia ugali usiku unless amekwambia. Na wanaume wengi wenye asili ya Mbeya; kumpikia ugali usiku ni ugomvi
Kinachokera ugali wa usiku ni ile njaa unaamka nayo asubuhi aisee [emoji3]
 
Kuna siku ameniuliza hivyo, nilikua na mahasira yangu tu siku hiyo,nikamjibu pika pumb.u.
 
kuna upuuzi mwingine wa kutakiwa kurudi na vyakula ukitoka job. wakati umewaachia hela ya mwezi mzima. nilipohoji nikaambiwa mbona baba jirani huwa analeta. Majibu ilikuwa simple tu,kaolewe naye
Matunda hilo halina shida sababu misimu inabadilika badilika unaweza beba kafuko ka matunda daily ila sio eti ubebe mavitu ya kupika kila siku huo sio uungwana ikiwa mama umempa hela ya shopping ya vitu mwezi mzima.
 
Hahaha kimoyomoyo unasema sasa mbn cmpat kama huyu dada angu

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tafuta hela
 
Mwambie mpange ratiba ya juma inasaidia kubajeti na kuounguza hayo maseali.
Jua kwamba na yeye anakanganyikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…