Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 10,174
- 89,364
mwanaume apende asipende atakula tu maana asipokula ni mtiti. we pika tu kama hamu ya kingine anayo atabeba aje na hayo mazaga. generally sipendi hilo swali +upo wapi? + unafanya nini?+nambie.Kuwaza Cha kupika huwa ni kazi ngumu hata kukiwa na kila kitu, nakumuuliza mume nikujua anapenda nini kipikwe nisije kupika kitu asichokipenda. So kusaidiana mawazo kuhusu msosi ni Jambo zuri na linapunguza mzigo kwa mpigaji na njia rahisi ni kuwa na ratiba ya msosi