Hivi nani mwingine anakereka na hili swali toka kwa wife?

Hivi nani mwingine anakereka na hili swali toka kwa wife?

Kuwaza Cha kupika huwa ni kazi ngumu hata kukiwa na kila kitu, nakumuuliza mume nikujua anapenda nini kipikwe nisije kupika kitu asichokipenda. So kusaidiana mawazo kuhusu msosi ni Jambo zuri na linapunguza mzigo kwa mpigaji na njia rahisi ni kuwa na ratiba ya msosi
mwanaume apende asipende atakula tu maana asipokula ni mtiti. we pika tu kama hamu ya kingine anayo atabeba aje na hayo mazaga. generally sipendi hilo swali +upo wapi? + unafanya nini?+nambie.
 
Jamaa anaonekana wa ajabu sana. Yani anachukia ugali hao ndio wale daddy im going!

Ukiwa huna hobby ya kupika ni kazi ngumu kweli! Ila if you are creative there are a million dishes yani! Na vitu ni vile vile tu ila unatwist kidogo tu unapata new dish. Unaongeza kidogo inakuwa kitu amazing.

Nunua vijarida vya mapishi vitakusaidia kuto run out of ideas! Mie sijui tatizo nina dada anapenda mapishi yani nikifikaga kwa shemeji yangu namuonea wivu anavyopikiwa vitu vizuri vizuri yani kama yuko 5 star hotel😂😂😂
Usimuite my husband wa ajabu mkuu. Ni vile alipokulia. Mtu hupenda chakula alichozaliwa akakikuta. By the way ushauri wako naupokea kwa mikono miwili umetulia mno
 
Kwamba yeye ndo anunue Hotpot???[emoji3][emoji3][emoji3] Mwanamke atakuuliza tunakula nini kama hujampaa helaa.. wewe mpe lakin 2 kila mwisho wa mwezi uonee..

unasema laki mbili.. bajet ya home mimimu
ni 360,000 kila mwez na nje ya hapo jikon kwake always kuko full....
 
Raha ya chakula ufanyiwe assortment na mke! Tatizo wake zetu wengi sio wabunifu nakumbuka marehem mama alikuwaga na cook books kabisa yani na alikuwa na hobby ya kupika basi anajipikilisha wee! Sasa kutana na hivi vizazi vya chips kuku yani wao nje ya wali, ugali na pilau hana anachojua[emoji28]
Kabisa mkuu hata mimi mwenyewe kabla ya kuwa na watoto nilkuwa nakosa cha kupika mpaka namsubiri hubby anichagulie bahati nzuri alikuwa muelewa,
 
Hamna wala sio ulalamishi! Ni uvivu wake wa kufikiri tu mie hata akipika mavi ntakula tu sababu ndio chakula chetu cha siku hio!

Anajua fika sipendi mchicha na kabeji[emoji28]!

Hayo mengineyo akipika haina shida. Sema uliza mara moja moja we kila siku unauliza tu hujui kuwa ni kero? Mwanaume raha upikiwe bana ukifika we ni kusifia tu leo mke wangu pishi tamu sana[emoji28] sio unafika unaanza kumenyeshwa vitunguu swaumu!
Mmmh hiyo nzito
 
Kabisa mkuu hata mimi mwenyewe kabla ya kuwa na watoto nilkuwa nakosa cha kupika mpaka namsubiri hubby anichagulie bahati nzuri alikuwa muelewa,
Una bahati sana yani maana wengine mood hizo hatuna tukichoka😅
 
Kuwaza Cha kupika huwa ni kazi ngumu hata kukiwa na kila kitu, nakumuuliza mume nikujua anapenda nini kipikwe nisije kupika kitu asichokipenda. So kusaidiana mawazo kuhusu msosi ni Jambo zuri na linapunguza mzigo kwa mpigaji na njia rahisi ni kuwa na ratiba ya msosi
Panga ratiba ya misosi ya kila siku ili kuondokana na mambo ya kufikiria utapika nini.
Weka ratiba hadharani kila mtu aijue.
 
Una bahati sana yani maana wengine mood hizo hatuna tukichoka[emoji28]
Ndio hata ukichoka hakuna namna yaani sisi shida yetu ilikuwa upendeleo kwenye vyakula mfano mimi napenda sana ndizi,yeye hazipendelei,mimi sipendi viazi mviringo yeye anapenda sana,mimi siwapendi samaki yeye ukimpikia samaki atasifia mpaka basi,mi sipendi wali yeye anapenda sana wali,mimi sipendi tambi yeye anapenda,kwa hiyo mimi inanipa shida kwenye kuchagua chakula cha kupika kwa maana mimi nkila nkitaka kupika either nimeridhishe yeye ama nijiridhishe mimi
 
Hahahahahahahah hapo pazito yani vyakula unavyopenda wewe utakuwa mchaga kabisa kama sio Muhaya😅😅😅 hapo hata mimi lazima tungekaa meza ya maridhiano🤣🤣🤣
 
Panga ratiba ya misosi ya kila siku ili kuondokana na mambo ya kufikiria utapika nini.
Weka ratiba hadharani kila mtu aijue.
Na siwezi panga ratiba lazima nidhirikishe watu Mimi Kuna vitu vyangu hupenda Sasa ukiniachia mwenyewe nitawafuraisha kwa kweli. Kupanga timetable ni swala shirikishi
 
Ndio hata ukichoka hakuna namna yaani sisi shida yetu ilikuwa upendeleo kwenye vyakula mfano mimi napenda sana ndizi,yeye hazipendelei,mimi sipendi viazi mviringo yeye anapenda sana,mimi siwapendi samaki yeye ukimpikia samaki atasifia mpaka basi,mi sipendi wali yeye anapenda sana wali,mimi sipendi tambi yeye anapenda,kwa hiyo mimi inanipa shida kwenye kuchagua chakula cha kupika kwa maana mimi nkila nkitaka kupika either nimeridhishe yeye ama nijiridhishe mimi
Ugonjwa wangu ndizi hata Nikila daily sichoki naye hapendi ndizi akiulizwa hataki Sasa namkomesha mpaka akome
 
Mi swali hilo si la mazoea ila mwanamke hapendi ukosoe,ushauri au pendekezo la msosi husika kwa upikaji wa siku ingine, nikinyimwa papuchi namtema ndani ya nafsi namfanya kama kibwengo.
 
Na siwezi panga ratiba lazima nidhirikishe watu Mimi Kuna vitu vyangu hupenda Sasa ukiniachia mwenyewe nitawafuraisha kwa kweli. Kupanga timetable ni swala shirikishi
Wife zamani akiniiuliza nilikuwa namjibu pika chochote,, nilivoona anaendelea siku moja nikamwambia pika mchemsho, akatabasam akasepa,, alivorudia siku nyingine nikamwambia pika nyama choma na ugali.

Siku hizi haniulizi tena.
 
Wewe pika chochote kilichopo Mimi nitakua tu! Labda kama niseme mwenyewe mke wangu,nakuja na kitu flani,nadhani hiki ndo tule leo usiku, asubuhi au mchana! Mimi hapa duniani hua siwezi kula bokoboko tu,vingine vyote nakula,hata chatu akiungwa vizuri ataingia tumboni tu

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]eti ata chatu una mla tu bila wasiwasi
 
Back
Top Bottom