Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
- Thread starter
- #401
Yeye anajua nakereka nalo mbona😅 huwa sina tabia ya kuficha ficha jamboHalafu unaonyesha siyo mkweli, yaani hauko wazi. Unatunza mambo madogo madogo rohoni halafu unakwengda tena kuyaweka public somewhere. Mke wako unashindwa nini kumweleza kama hilo swali huwa limnakukera aache kuwa anakuuliza, hadi unafikia kulileta humu jukwaani? Unakaa umemvimbia kifuani mtoto wa watu kwa kitu kidogo kama hicho, huku yeye akiwa hajui. Tabia ya ajabu sana hii kwa mtu yeyote yule anayeitwa mwanamme