Hivi nani mwingine anakereka na hili swali toka kwa wife?

Hivi nani mwingine anakereka na hili swali toka kwa wife?

Halafu unaonyesha siyo mkweli, yaani hauko wazi. Unatunza mambo madogo madogo rohoni halafu unakwengda tena kuyaweka public somewhere. Mke wako unashindwa nini kumweleza kama hilo swali huwa limnakukera aache kuwa anakuuliza, hadi unafikia kulileta humu jukwaani? Unakaa umemvimbia kifuani mtoto wa watu kwa kitu kidogo kama hicho, huku yeye akiwa hajui. Tabia ya ajabu sana hii kwa mtu yeyote yule anayeitwa mwanamme
Yeye anajua nakereka nalo mbona😅 huwa sina tabia ya kuficha ficha jambo
 
Nakumbuka niliwai ishi na dem m1 Arusha..yeye kula hapend..na mtu ambae kula hapend bas kupika huwa hapend .yeye vyakula vyake vya ajabu..atachemsha mi tambi/nudles hapo na maziwa anakula na sosej..au anaenda nunua chocolate cake anakula imetoka hyo..mim sasa napenda ugal nyama maharage.samak .kisamvu .mlenda dagaa...yaan real food...alikua hapik..nilipata shida sana ishi na yule bint
Hahahahahaha hapo ilikuwa haina jinsi ni kujichenga tu! Ni aibu kuwa na mke wa dizaini hio ataua njaa watoto
 
Sometimes we want to know yo favorites jaman msiwe mnakasirika...mbona ni swali la kawaida pia kujua mood zenu kwa wakat huo zinataka kula chakula gan..
Duh walau mara moja kwa mwezi sio leo..kesho..keshokutwa swali hilo hilo!
 
relax bro...calm down homeboy...easy easy home planet...chilling

Hilo swali ni linakukera kwa sababu ya frequency yake?? Je akiuliza mara moja kwa wiki will u complain??

Je tangu makuzi yako hujawahi kuulizwa au kusikia baba yako akiulizwa na mama yako??

Siku ya kwanza kuulizwa ulijisikiaje internal, annoy or not??

Je ukiwa na good mood/vibe afu ukaulizwa hilo what do you feel??

BTW ukitaka kujijua ww ni mtu wa aina gani go and look ur 20 yrs back na itakusaidia kutambua ur character.

Lastly tafuta article yoyote inayozungumzia mambo ya Emotional Intelligence it will help u.
Mara ya kwanza was easy, pika kitu flani leo! Halafu unajua bora mtu aulize hilo kwa comparison aidha anafikiria mambo mawili yanampa ukakasi! Aidha afanye A ama B ndio anauliza sasa. Bebi nipike wali samaki au kuku leo!

Thats easy leo pika kuku mpenzi, wanawake wanapenda approval. For the sake of that its fine sio mie nianze kumpangia cha kupika ni ufaraa!
 
Inaonekana wewe mkeo unamuona kama hazimo ee, inaonekana wewe ni mtu anayeweka vitu moyoni na kuja kuongelea sehemu weak? Au nia yako ni nn? Badilisha mtizamo huo, kuwa a real man,penda familia yako, penda mkeo acha roho mbaya.
Hahahah sa mzee roho mbaya iko wapi hapo? Kimsingi kila mtu anakuwaga anazingua hilo nimelisema kwa niaba ya wengi sio mke wangu tu!
 
Anataka kura yako katika uchaguzi wa kipi kipikwe.

Ili asipike kidikteta na kukulisha vitu kwa "amri kutoka juu".

Tatizo umenunua vitu vingi tofauti.

Ungekuwa umenunua unga na dagaa tu, kungekuwa hakuna swali la nini cha kupika.
Sipo jela mkuu😅 yani dagaa siwapendi kichizi lbda wawe dagaa nyama wale au dagaa mchele😅
 
Kati ya kazi ambayo huwa hawatuandai kisaikolojia kwenye kitchen party hii.

Zoezi la kuamka kila asubuhi uwaze watu wa nyumbani kwako wale nini asubuhi, mchana na jioni si rahisi.
Zoezi la kupangilia mlo si rahisi hivyo.
Kama unakereka ujue na yeye anakereka hivyo hivyo.
Hahahahah iga kwa wenzio au omba idea kwa rafiki zako sio mnachat umbea kwenye magroup tu!

Halafu vitabu vya mapishi vipo i think this would be my next move ili kuondokana na hii kero.
 
hili swali limewahi tugombanisha na wife bt after ugomvi ule nilimuuliza kwa nini anauliza vile daily? alijibu anafurahia sana kupika kile nachopenda hivo kuniuliza ni sehem ya upendo, ukweli tangu wakati huo silichukii swali hilo.
Mie kuulizwa hilo swali nikasema nachopenda maanake atanilisha pilau kuku mwezi mzima maana ndio kitu pekee nakipenda huoni utakuwa upuuzi?😅

Mwanamke anatakiwa awe mbunifu jikoni bana thats what they were made for. Chumbani na jikoni to be exact! Mwanaume anatakiwa ale ashibe kisha ampige mashine vizuri na kwenda kutafta hela ya kula! The cycle goes on...
 
Jamaa anaonekana wa ajabu sana. Yani anachukia ugali hao ndio wale daddy im going!

Ukiwa huna hobby ya kupika ni kazi ngumu kweli! Ila if you are creative there are a million dishes yani! Na vitu ni vile vile tu ila unatwist kidogo tu unapata new dish. Unaongeza kidogo inakuwa kitu amazing.

Nunua vijarida vya mapishi vitakusaidia kuto run out of ideas! Mie sijui tatizo nina dada anapenda mapishi yani nikifikaga kwa shemeji yangu namuonea wivu anavyopikiwa vitu vizuri vizuri yani kama yuko 5 star hotel😂😂😂
Alirithi kutoka kwa mama ndo maana, vitu vingine mtu anarithi tu bila kutaka
 
Si kujua tu vibe yako ni ya chakula gani bac tu akupikie sio kwamba hajui nini apike kwan ukienda mgahawan si unaagiza chakula ulotaman cku hiyo sasa na wife lazma niulizie leo unapenda kula nini sio kupika tu ugali kama unataka pilau je
Hilo sio shida tatizo kuuliza kila siku yani😅 uliza once in a while ushanipikia hata week kadhaa halafu hili swali zuri ukiuliza baada ya kunipa mzigo kwenye ka weekend kale jumamosi hivi asubuhi.

Sio mtu katoka kwenye shuruba za siku nzima unarudi home saa 3 mke ndio anakuuliza nikupikie nini?
 
Alirithi kutoka kwa mama ndo maana, vitu vingine mtu anarithi tu bila kutaka
Kweli yani inashangaza sana. Unakuta mwanamke hajui kupika yani dah inasikitisha kwa kweli. Katika eneo ambalo mke unatakiwa ku excel ni jikoni na chumbani yani huko usifanye mchezo😅
 
Hahahah yan tumeshakuwa wachumba sugu tukaamua kuhalalisha ndoa halafu uwe hujui nachopenda kula. Amna mwanaume asiependa nyama na ugali bana ila tu naachoona wanawake ambao hawana interest na ubunifu jikoni ndio watu wa kuuliza uliza hili swali.
Ugali dagaa bwana ndio kitamu...ukimaloza hapo unataka na kumla mpishi mwenyewe
 
Kweli yani inashangaza sana. Unakuta mwanamke hajui kupika yani dah inasikitisha kwa kweli. Katika eneo ambalo mke unatakiwa ku excel ni jikoni na chumbani yani huko usifanye mchezo😅
Unapenda zako raha tyu 😋
 
Mimi nakereka kupita maelezo mkuu, yaani nakwazika na hili nilishaliongea lakini hakuna suluhu.
Hahahahahah mke anazingua sana kuuliza hili swali af mda mwingi unakuta upo out of mood ndipo unapoulizwa pale😂
 
Kiukweli mimi napenda kuulizwa.maana NI mchaguaji mzuri wa chakula
Ugali wa sembe sili,kabichi sili.
napenda wali Nazi na samaki wa Nazi na bamia ziwe za kutoshaaaa.
akibadili kuku,au maini na firigisi ya kukaanga
 
Back
Top Bottom