Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Mmhh wanawake wa kibongo wengi siku hizi wanajua kupika vyakula vingi tu labda mseme hao wa kwenu mnawaokota wapiMwanamke unatakiwa kuwa mbunifu, kuna wanawake wabunifu mpaka they trully amaze!
Leo atapikà wali nyama ya kusaga mara mixa culiflower vegetables. Kesho anapika style ingine ya chakula. Vitu ni vile vile ila kuna ubunifu.
Shida ya wanawake wa kibongo anajua mapishi matano tu.
Wali maharage +mchicha.
Wali + mchuzi wa nyama.
Wali + mchuzi wa samaki.
Ugali + nyama+maharage
Ugali + Samaki+ maharage
Yani utaona assortment ni nyama+samaki+mboga ya majani+ kuku.
Akiboresha ni pilau + ndizi+ nyama au kuku. Lazma ujionee tabu kupika. Kupika ni sanaa jamani. Na bado atataka akuulize maswali
Shida ni kwamba what if akapika hayo mavikolombwezo yote halafu wewe ukawa hujisikii kula wacheni maneno mengi