Mkuu wa Kibiti
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 776
- 1,136
Jifunze kuandika kwanza ndio uje jfUnaenda kumkamata kichaa na magari kadhaa,siraha za kutosha na askari kombania nzima kwenda kumkamata kichaa.Nani anakuwa kichaa zaidi?
Likikukera kula ndimu.Halafu,si lazima usome post zangu.Ukiona ngumu kumeza potezea tuJifunze kuandika kwanza ndio uje jf
Au uwe unasoma tu waliyoandika wenzako umenikera sana
Likikukera kula ndimu.Halafu,si lazima usome post zangu.Ukiona ngumu kumeza potezea tu
Tatizo lako ni kuwa babako aliuza ng'ombe ili kupeleka ng'ombe mwingine shuleMh.wa mkoa gani bandugu