Hivi nanyi mmebahatika anayeyajua mapenzi kama huyu wangu?

Kama hayajakukuta huez elewa. Jamaa yuko sahihi kabisa...The feeling is the same
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚kwamba ni kameπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ je kama kwako ndo anakuwa mkame akienda kwingine ni full chemchem??
 
Pole sana.
Hapa ndio tulipofikia wanaume wengi wa Bongo. Wengi Wetu vichwa vyetu, kwa asilimia kubwa vimejaa mawazo ya ngono. Inasikitisha sana. Hatuwezi kupata maendeleo ya haraka ya kiuchumi kwa hali hii. Tubadilike jamani.
ni kweli mkuu inasikitisha
 
Anajua mapenzi anafanyaje jamani? Hebu mwambiea ajiunge huku atufunde wenzie.

Mimi kiukweli kama ufundi ndio kupendwa hakuna mwenye angethubutu kunipenda πŸ˜… Ila ndio napendwaga balaaa!
 
Anajua mapenzi anafanyaje jamani? Hebu mwambiea ajiunge huku atufunde wenzie.

Mimi kiukweli kama ufundi ndio kupendwa hakuna mwenye angethubutu kunipenda πŸ˜… Ila ndio napendwaga balaaa!
Una K tamuπŸ˜‚ na swaga za kijanja kwa mpenzi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]eti stiliwaya mode
Aisee ukitoka pale mashine nyekundu Kama mishkaki ya kitambaa cheupe[emoji38]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ milenge lenge kibao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…