Hivi nanyi mmebahatika anayeyajua mapenzi kama huyu wangu?

Mama J kaujaza moyo wako Haswa na umefurika Yeye tu, hongera kwake ila pole kwa mkeo pia.
Unaidhurumu nafsi yako bure oa huyo aliyemoyoni mwako, maana wife wako kulingana na maandiko yako kitandani performance yake iko chini sana.



Kwa Kweli mkewe anatia huruma sana!

Sababu hayo anayosifia maana yake anayakosa Kwa mkewe.

Kwa maneno mengine mkewe ni dhaifu katika kumfanyia yale anayotaka jamaa.

Kwa maana hiyo mke ame-fail ku-meet expectations za mume wake ![emoji848]

Ni bora angemsitiri tu kama wenzie wanavyofanya!

Maana hata yeye ako na madhaifu yake bila shaka pengine!
 
Utadhani yule wangu, she was the first sight love ..... Namuona kwa mara ya kwanza amekidhi vile vigezo vya yule mwanamke wangu niliyekuwa nimemjengea picha kichwani kwangu aka a woman of my dreams kimuonekano.

Hapo alikuwa kaja kuchukua huduma Fulani kwangu , akiwa kanyoa upara kichwani ,kavaa hereni kubwa masikioni juu kavaa kikoti kidogo juu ya blauzi akionekana mwenye kifua kidogo ,umbo sawia lililokuwa ndani ya suruali nadhifu iliyochora kiuno nyingu ,round as.s , hips za Alicia keys. Nilipomsemesha kuonge nikakutana na meno meupe yenye mwanya , alipotabasamu dimple kwenye shavu moja likajichora na mwili wake ukiwa umepambwa na rangi nyororo ya chocolate 😊😊😊😊.... Kaenda juu hewani na shingo yake ndefu ya twiga.

Nikajisemea Mwenyezi Mungu anipe nini ,hapa hapa naweka Kambi liwalo na liwe.

Kwakweli nilipogusa nikanasa mazima , alikuwa kama huyo mama j wako na zaidi yako na mama j huyu tulikuwa marafiki zaidi ya mama j wako aka partners in crime sharing our secrets clean and dirty parts.

Ila kama nature ya binadamu akupandishaye juu kileleni ana uwezo wa kukushusha mzizini , Ile weakness yake moja tu ambayo alikuwa nayo toka ayaanze mapenzi nikijidanganya atakuja kujirekebisha akiwa na Mimi- her dark side yalikuja kuwa Bomu la Hiroshima kwenye maisha yangu.

Hakika N ulinipandisha sana kwa miaka mingi na hakika tulipendana na kuendana sana- tulikuwa tunamiliki Pepo yetu ardhini , tulikosea sehemu ndogo sana na kuchagizwa na wivu na tamaa otherwise sijui kama Kuna waliofaidiana kama sisi.

Siku uvivu wa kuandika masimulizi ukiniisha hiki kisa nitakileta maana kina mengi sana.


Dedication: Song Yanaumiza by Mbosso feat Diamond.

Omerta off to other issues.
 
Wakubwa mmefaidi sana hii dunia ni zamu yetu na sisi kulamba asali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…