Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Kila mtu na taste yake kweli, ila most men tunarogwa na handling. Ukiacha physique wengi tunarogwa na romanticnessUnaweza kuwa nae wewe na usiyaone aliyosema DeepPond kuna huyu kupenda roast, mwingine ya kuchoma mwingine supu lakini zote ni nyama sijui unanielewa