Hivi nanyi mmebahatika anayeyajua mapenzi kama huyu wangu?

Kuna somo kubwa sana huyu Dp anawapa wanawake wa humu.
Haiwezekani mchepuko apewe nafasi kubwa kuliko mke.

Kama Mungu yupo na anaishi ataamua kesi hii😅😅😅
Nisameheni akili za mgawo wa umeme na wakuu😂
Unawekezaje kwa mtu ambae ikitokea umepigwa na stroke hatosogeza pua yake wala kuja kukusafisha haja kubwa na ndogo.. Nawekeza kwa mtu ambae usiku yupo pembeni yako, hata nimebanwa na punu yupo mbembeni analia na kunihudumia kwingine huko nj shwaaaa shwaaa
 
Kutokuwa na familia napo inaongeza hamu, mnaibana, unajua ni mchepukohivyo yuko huru kufatwa hii huongeza hamu kiaina kuliko unaeishi nae ndani na km sie wanawake ndo tukiwa na vichanga tunakuwaga bize na malezi kuliko hizo mambo,, mkeo akikuza mtoto mdogo akafikia darasa la tatu utarudi hapa kutusimulia kuwa ameongeza libido
Umeongea Kam unamjua vile,
Seriously wife akishajifungua kiukweli tendo ni kwa manati Sana
Mtoto anawekwa katikati afu hata ile kujipenda na manjonjo hupungua
 
hii pia inaukweli mama J yuko flexible kwa sababu ya majukumu kidogo,mfano ikatokea leo akapata mtoto mbona ataelewa
 
Umeongea Kam unamjua vile,
Seriously wife akishajifungua kiukweli tendo ni kwa manati Sana
Mtoto anawekwa katikati afu hata ile kujipenda na manjonjo hupungua
Muheshimu tu, haya maufala yako usimuoneshe yani usioneshe kwamba nje unaridhishwa na umezama kuliko kwake,, tunabadilikaga vibaya acha kabisa
 
Kwanza hajui,
Afu nnavomheshimu na kumjali yeye na wazazi wake hajui kabisa kama nnachepuka Tena.
Maana Kuna kipind mamaJ akijichetua Hadi wife akajua, yakaisha
 
Mi mwnyw linanipa mashaka Sana hili akishazaa ataendelea kua hivyo?
Atapunguza ila mtoto akikua inakuwa mara mbili yake, mi kwa uzoefu baada ya watoto kukua nilikuwa napenda hizo mambo na ndipo nilipousikia utamu wa mwanaume nk
 
Unawekezaje kwa mtu ambae ikitokea umepigwa na stroke hatosogeza pua yake wala kuja kukusafisha haja kubwa na ndogo.. Nawekeza kwa mtu ambae usiku yupo pembeni yako, hata nimebanwa na punu yupo mbembeni analia na kunihudumia kwingine huko nj shwaaaa shwaaa
Kuna uzi nmeweka
khs mafanikio ya Miaka 3 na mamaj

Ukiusoma vizur
utagundua Miaka yote 3 tulokua wote nmewekeza Zaid kwa wife kuliko yeye
 
Kwanza hajui,
Afu nnavomheshimu na kumjali yeye na wazazi wake hajui kabisa kama nnachepuka Tena.
Maana Kuna kipind mamaJ akijichetua Hadi wife akajua, yakaisha
Ulitusimuliaga baba j, mchepuko anaweza waletea fujo lakini km wewe ukiwa imara usimuonyeshee kitu wala hawezi kuumia
 
Atapunguza ila mtoto akikua inakuwa mara mbili yake, mi kwa uzoefu baada ya watoto kukua nilikuwa napenda hizo mambo na ndipo nilipousikia utamu wa mwanaume nk
Ooh, kumbe[emoji848]
 
Kuna uzi nmeweka
khs mafanikio ya Miaka 3 na mamaj

Ukiusoma vizur
utagundua Miaka yote 3 tulokua wote nmewekeza Zaid kwa wife kuliko yeye
Hapo safi kabisa, pia backup ni muhimu sana kuwa na mke mmoja tu stress.. Wewe ni mwanaume halisi kama umethamini maisha yao na hujawa mmbinafsi
 
Unawekezaje kwa mtu ambae ikitokea umepigwa na stroke hatosogeza pua yake wala kuja kukusafisha haja kubwa na ndogo.. Nawekeza kwa mtu ambae usiku yupo pembeni yako, hata nimebanwa na punu yupo mbembeni analia na kunihudumia kwingine huko nj shwaaaa shwaaa
Kipi Cha maana nmewekeza kwa mamaJ mkuu? Kodi ya nyumba na asset za ndani?

Mbona hata kiwanja sijamnunulia?

Wife Wangu ndo ana kila kitu, Hadi ukweni nmejenga
 
Back
Top Bottom