DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Umenikumbusha wimbo wa Joh_makini unaitwa NIAJE NI VIPIWakuu -miezi kadhaa nyuma waliibuka vijana wakijiita NETO wakisema ni umoja wa vijana wasio na ajira.
Ningependa kujua wako wapi , na wamefikia wapi?
A@AAA😁😁Ukionjeshwa asali,unahaja gani kuendelea kupambana? Hasa ukizingatia Watanzania wenyewe ni makondoo,unachukua chako unasonga mbele
Hakika mkuu njaa haina baunsaUmenikumbusha wimbo wa Joh_makini unaitwa NIAJE NI VIPI
Kuna stanza jo anasema ULIZIA PESAA WAKUZIME KAMA TAA..
Ccm waliwaogopa NETO ndio maana kuna Vijana walitekwa na kupotezwa na wengine wali itwaga DODOMA WAKALAMBIASHWA ASALI.
KAKA KWA KUMALIZIA HAKUNAGA UMOJA KWENYE NJAA "" YAANI UMOJA KWENYE NJAA HUWA HAUDUMU" kaka utakula hata kitimoto JUUU alafu tuna mswalia mtume maisha yana songa nilicho jifunza CCM na serikali Yake ni limashinery LIKUUBWAAA mnoo ila tuombe uzima kaka.
Huo ndiyo ukweli mchungu, kwasababu walichokoza nyuki kwenye mzinga, ndiyo maana waliitwa chap na Simbachawene Dodoma,na kelele zao zikaisha rasmiA@AAA😁😁
Hakika walitumia Akili kubwa kuushinda UjoblessHuo ndiyo ukweli mchungu, kwasababu walichokoza nyuki kwenye mzinga, ndiyo maana waliitwa chap na Simbachawene Dodoma,na kelele zao zikaisha rasmi
Umenikumbusha wimbo wa the late Albert mangwea _ maskini wenzangu.Huo ndiyo ukweli mchungu, kwasababu walichokoza nyuki kwenye mzinga, ndiyo maana waliitwa chap na Simbachawene Dodoma,na kelele zao zikaisha rasmi
Labda walishaajiriwa.Wakuu -miezi kadhaa nyuma waliibuka vijana wakijiita NETO wakisema ni umoja wa vijana wasio na ajira.
Ningependa kujua wako wapi , na wamefikia wapi?
Shida nyingine ni wale unaowapigania,hawana msaada wowote hata ukiwahitaji........sasa kwanini ujisumbue?Umenikumbusha wimbo wa the late Albert mangwea _ maskini wenzangu.
Kwenye moja ya stanza anasema lete mgomo baridii uijue serikali.. embu muulize ulimboka umuhimu wa madaktari.
Huwezi kuwasikia tena
Acha kabisa...mzinga wa nyukii hauchezewii