Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,299
- 40,929
Taipingi error tu mkuu rilaksiHeading inasema NATO ila content inasema NETO
Which is which
Taipingi error tu mkuu rilaksiHeading inasema NATO ila content inasema NETO
Which is which
Inauma sana ndio maana Antipas yupo GEREZANI MUDA HUU kwa uhaini ili mwisho wa siku anyongwe inauma sanaaShida nyingine ni wale unaowapigania,hawana msaada wowote hata ukiwahitaji........sasa kwanini ujisumbue?
Kwahiyo ipi ndio sahihi? Au unafikiri wote tunajua hayo mambo?Taipingi error tu mkuu rilaksi
NETO mkuu 🙏Kwahiyo ipi ndio sahihi? Au unafikiri wote tunajua hayo mambo?
Antipas akitoka anabidi kuangalia aina ya watu anaowapiganiaInauma sana ndio maana Antipas yupo GEREZANI MUDA HUU kwa uhaini ili mwisho wa siku anyongwe inauma sanaa
Hahaha walilamba asali mkuuWakuu -miezi kadhaa nyuma waliibuka vijana wakijiita NETO wakisema ni umoja wa vijana wasio na ajira.
Ningependa kujua wako wapi , na wamefikia wapi?