Ngoja nisaidie kutoa ufafanuzi kwa niaba ya mdau.
Mfano una picha ya mtihani umeipiga kwa simu au umescan huo mtihani. Sasa wewe unahitaji kufanya marekebisho baadhi ya sehemu kadhaa au unahitaji kuyachukua yale maandishi yaliyo kwenye hiyo picha.
Sasa je wayachukuaje? Kuna app ambayo inaweza ikafanya ukayacopy yale maandishi yaliyo kwenye ile picha?