Hivi naweza badilisha picha zilizoandikwa ambazo zinahitaji kuchapishwa tena na kubadilishwa kuwa faili za pdf kwakutumia simu

Prince wa iramba

New Member
Joined
Aug 19, 2022
Posts
1
Reaction score
1
Hivi naweza badilisha picha zilizoandikwa ambazo zinahitaji kuchapishwa tena na kubadilishwa kuwa faili za pdf kwakutumia simu?
 
Binafsi sijakuelewa! Picha zilizoandikwa ndio zikoje?
 
Ngoja nisaidie kutoa ufafanuzi kwa niaba ya mdau.

Mfano una picha ya mtihani umeipiga kwa simu au umescan huo mtihani. Sasa wewe unahitaji kufanya marekebisho baadhi ya sehemu kadhaa au unahitaji kuyachukua yale maandishi yaliyo kwenye hiyo picha.

Sasa je wayachukuaje? Kuna app ambayo inaweza ikafanya ukayacopy yale maandishi yaliyo kwenye ile picha?
 
nafikiri ulikusudia kuuliza
Programu ya kubadili; "pdf kuwa word or kubadili picha ya document kuwa word" ili uweze kuedit
 
Back
Top Bottom