Kifulambute
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 2,539
- 758
Habari wanajamvi......leo nilikutana na swali ambalo kwa ka-biology kangu ka kibongobongo nilijibu bila kijiamini maana sina uhakika.
Nilikutana na rafiki yangu ambaye mke wake anaujauzito wa mwezi mmoja, akaniuliza eti naweza kuendelea na sex hata kama anaujauzito? Mi nilijing'atang'ata na kumwmbia anaweza endelea..... Je hii ni kweli?