Hivi naweza kufanya hata kama ana mimba?

Kifulambute

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2011
Posts
2,539
Reaction score
758
Habari wanajamvi......leo nilikutana na swali ambalo kwa ka-biology kangu ka kibongobongo nilijibu bila kijiamini maana sina uhakika.

Nilikutana na rafiki yangu ambaye mke wake anaujauzito wa mwezi mmoja, akaniuliza eti naweza kuendelea na sex hata kama anaujauzito? Mi nilijing'atang'ata na kumwmbia anaweza endelea..... Je hii ni kweli?
 
Tena asipompa anaweza toka hata nje... wanawake wengi katika hio hali they are always horny..
Mimba ikiwa kubwa inabidi the guy awe gentle purukushani zinakua sa kiaina...
In special cases kwa wake wadada wenye matatizo ya mimba kutoka zenyewe au
kizazi kiko chini/karibu au wakiwa bed red kwa sababu mbali mbali inatakiwa
wawe makini, after all doctor anawapa ushauri... Mimi ni mama na nakumbuka
i did the needful one day before kujifungua....
 
yan mwez mmoja tu anawasiwasi? watu wanafanya mpaka mwanamke anakaribia kujifungua na hamna madhara wala nn...ili mradi mwanamke mjamzito awe comfortable.
 
nenda jamii docta kule nimeweka maelezo mengi tu kuhusu hilo.' kichwa cha habari ni mkao mzuri kwa mama mjamzito.
 
Habari wanajamvi......leo nilikutana na swali ambalo kwa ka-biology kangu ka kibongobongo nilijibu bila kijiamini maana sina uhakika.

Nilikutana na rafiki yangu ambaye mke wake anaujauzito wa mwezi mmoja, akaniuliza eti naweza kuendelea na sex hata kama anaujauzito? Mi nilijing'atang'ata na kumwmbia anaweza endelea..... Je hii ni kweli?

Mjomba, we sema biology hujui kabisa. Hakuna biology ya kibongobongo ambayo itakufanya kuleta hapa swali ulouliza.

Kama mwanamke hajaeleza matatizo yoyote yanayohusiana na ujauzito, ni Ruksa kuendelea kupata na kutoa huduma kwa raha zake
 
we naona ndio hujui kabisa maana navyojua sio mama anaeleza ila proof from Doctor ndio inaweza kusema kama ana matatizo kwenye uterus otherwise hujui biology rudi kwa mwalimu wako....na kama ulibahatika kwenye selection ya MUCH basi wewe ni wale Dr ambao wanapasua kichwa badala ya mguu.
 
izi habar zenu za kuoana mkiwa anda 18 matokeo yake ndoa aya

paten a,b,c za ndoa na elimu ya uzazi jaman b4 amjafunga...sasa swal gan ili....?
naisi jamaa ako kaoa akiwa na miaka 12 au ndo masharobaro wetu waleeeeeee?
 
we naona ndio hujui kabisa maana navyojua sio mama anaeleza ila proof from Doctor ndio inaweza kusema kama ana matatizo kwenye uterus otherwise hujui biology rudi kwa mwalimu wako....na kama ulibahatika kwenye selection ya MUCH basi wewe ni wale Dr ambao wanapasua kichwa badala ya mguu.

Sasa kama unajua ni Dr ndio anaeleza, kwanini umeleta swali hapa?

Na je huyo Doctor atatoa proof bila mjamzito kuonesha kuwa ana tatizo lolote? Mbona mpaka mjamzito anagundua kuwa ni mjamzito, unakuwa umeishapita muda, na mwenye mke anakuwa ameishatoa huduma mara kadhaa?

Umelipuka bure.
Ukweli ni kuwa mtu yeyote anayejua biology hata ya kidato cha pili shule ya kata, hawezi kuuliza swali kienyeji kama ulivyouliza.

Baada ya comment hii. Unaweza ukajibu utakavyotaka. Kutoka kwangu nimefunga mjadala. You simply do not fit to be enlightened by me because you seem to be arrogantly proud of your ignorance.
 
Yes, unafanya kwa ajili ya kupanua njia! waswahili huwa wanasema, unatengeneza mikono na viungo vingie vya mtoto!
 
Haina shida yeyote unless mimba iwe na matatizo.wanawake wengi wakati wa mimba wanakuwa na hamu kubwa ya kusex.chakuzingatia ni kwamba mama inabd awe comfortable.kuna mwanajf alianzisha thread kuhusu mikao ya sex wakati wa ujauzito mwambie huyo rafiki yako aisome.tena mshawishi ajiunge na jf anakosa uhondo wa bure
 
nenda jamii docta kule nimeweka maelezo mengi tu kuhusu hilo.' kichwa cha habari ni mkao mzuri kwa mama mjamzito.

m t!
Nina uhakika leo JF Doctor imepata wageni wengi sana kwa hiyo uzi..... lol
Ngoja na mimi niende maana hapa nimetoka Jukwa la siasa moja kwa moja huku.
 
Tena asipompa anaweza toka hata nje... wanawake wengi katika hio hali they are always horny..
Mimba ikiwa kubwa inabidi the guy awe gentle purukushani zinakua sa kiaina...
In special cases kwa wake wadada wenye matatizo ya mimba kutoka zenyewe au
kizazi kiko chini/karibu au wakiwa bed red kwa sababu mbali mbali inatakiwa
wawe makini, after all doctor anawapa ushauri... Mimi ni mama na nakumbuka
i did the needful one day before kujifungua....

The Following User Says Thank You to Asha D For This Useful Post:
jouneGwalu (Today)

Usiku mwema!
 
Tena asipompa anaweza toka hata nje... wanawake wengi katika hio hali they are always horny..
Mimba ikiwa kubwa inabidi the guy awe gentle purukushani zinakua sa kiaina...
In special cases kwa wake wadada wenye matatizo ya mimba kutoka zenyewe au
kizazi kiko chini/karibu au wakiwa bed red kwa sababu mbali mbali inatakiwa
wawe makini, after all doctor anawapa ushauri... Mimi ni mama na nakumbuka
i did the needful one day before kujifungua
....

Horny eeh!...hahahahah lol!

YouTube - ‪miami sound machine - dr beat‬‏
 
mkuu kwa nini umsingizie rafiki yako wakati ni wewe mwenyewe!!!

hongera kijana kwa kumpa mimba huyo binti kuhusu game we piga game labda kama anasikia maumivu ndio muende kwa docta

tena piga gemu haswa haswa usituamgushe
na hamna mwisho we piga game hadi siku unampeleka hospital.

worry out mkuu enjoy kitu cha moto motoooooooooo!!!! ehe hadi raha
 
Back
Top Bottom