Kifulambute
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 2,539
- 758
Habari wanajamvi......leo nilikutana na swali ambalo kwa ka-biology kangu ka kibongobongo nilijibu bila kijiamini maana sina uhakika.
Nilikutana na rafiki yangu ambaye mke wake anaujauzito wa mwezi mmoja, akaniuliza eti naweza kuendelea na sex hata kama anaujauzito? Mi nilijing'atang'ata na kumwmbia anaweza endelea..... Je hii ni kweli?
Mjomba, we sema biology hujui kabisa. Hakuna biology ya kibongobongo ambayo itakufanya kuleta hapa swali ulouliza.
Kama mwanamke hajaeleza matatizo yoyote yanayohusiana na ujauzito, ni Ruksa kuendelea kupata na kutoa huduma kwa raha zake
we naona ndio hujui kabisa maana navyojua sio mama anaeleza ila proof from Doctor ndio inaweza kusema kama ana matatizo kwenye uterus otherwise hujui biology rudi kwa mwalimu wako....na kama ulibahatika kwenye selection ya MUCH basi wewe ni wale Dr ambao wanapasua kichwa badala ya mguu.
Ni mkewe!mmmh mpenda ngono
nenda jamii docta kule nimeweka maelezo mengi tu kuhusu hilo.' kichwa cha habari ni mkao mzuri kwa mama mjamzito.
Tena asipompa anaweza toka hata nje... wanawake wengi katika hio hali they are always horny..
Mimba ikiwa kubwa inabidi the guy awe gentle purukushani zinakua sa kiaina...
In special cases kwa wake wadada wenye matatizo ya mimba kutoka zenyewe au
kizazi kiko chini/karibu au wakiwa bed red kwa sababu mbali mbali inatakiwa
wawe makini, after all doctor anawapa ushauri... Mimi ni mama na nakumbuka
i did the needful one day before kujifungua....

The Following User Says Thank You to Asha D For This Useful Post:
jouneGwalu (Today)
Usiku mwema!