Mchochezi
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 10,962
- 7,830
Wakuu za jumapili
Nimepata wazo la kununua dikoda ya Azam Tv iliyosajiliwa Kenya na kurudi nayo Tanzania nije kuitumia. Je nitaitumia kama kawaida au mpaka nije kuibadilisha?
Lengo ni kupata hizi local channel ambazo huko nyumbani zimefungwa. Pia malipo yao ni kiduchu sana kwa huku ukilinganisha na huko nyumbani. Mfano kifurushi cha Azam pure ambacho huko ni Tshs 18000 kwa huku ni Ksh 200 ambayo ni sawa na Tshs 5,000.
Wasiwasi wangu, je kitafanya kazi kwa huko Tanzania hali ya kuwa kimesajiliwa Kenya?