PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,175
Hivi watanzania ndio watu wakuvunwa? Kama kenya wanalipia Azam Pure 8,000 ya huku? Wakati sisi wana nzengo tunakamuliwa 18,000 ni haki kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni installer wa ving'amuzi vya satellite. Hata ukichukua kisimbuzi toka China, kinafanya kazi hapa Tanzania. Muhimu ujue frequency tu za kisimbuzi husika.Wakuu za jumapili
Nimepata wazo la kununua dikoda ya Azam Tv iliyosajiliwa Kenya na kurudi nayo Tanzania nije kuitumia. Je nitaitumia kama kawaida au mpaka nije kuibadilisha?
Lengo ni kupata hizi local channel ambazo huko nyumbani zimefungwa. Pia malipo yao ni kiduchu sana kwa huku ukilinganisha na huko nyumbani. Mfano kifurushi cha Azam pure ambacho huko ni Tshs 18000 kwa huku ni Ksh 200 ambayo ni sawa na Tshs 5,000.
Wasiwasi wangu, je kitafanya kazi kwa huko Tanzania hali ya kuwa kimesajiliwa Kenya?
Vp bossNgoja niwasiliane na shemela zangu wa kiluo wanitafutie azam kisimbuzi nile ureda kwa 5000tzs hichi cha huku nikifyekelee mbali