Ngoja niwasiliane na shemela zangu wa kiluo wanitafutie azam kisimbuzi nile ureda kwa 5000tzs hichi cha huku nikifyekelee mbaliKinafanya kazi vizuri tu ila utabidi malipo ya kifurushi ufanyie huko Kenya.
Kuna mtu ana kifurushi cha azam cha Uganda na kinafanya kazi vizuri ila swala la malipo ndo kama nilivyokwambia.
Jioni njema.
kumbuka mara zote itakubidi uwatumie hela ya kununua kifurushi pale kitakapoisha.Ngoja niwasiliane na shemela zangu wa kiluo wanitafutie azam kisimbuzi nile ureda kwa 5000tzs hichi cha huku nikifyekelee mbali
Kinafanya Kaz kama kawa
Unalipa kwa mtandao tukumbuka mara zote itakubidi uwatumie hela ya kununua kifurushi pale kitakapoisha.
Kila la kheri.
Online paymentkumbuka mara zote itakubidi uwatumie hela ya kununua kifurushi pale kitakapoisha.
Kila la kheri.
ExactlyOnline payment View attachment 1118632
Unalipjae mkuu?kinapiga kazi mimi natumia dikoda ya Malawi inapiga kazi poa sana
kile kifurushi cha 18000 nalipa 8000/- Dizzim waliitoa azam ila wasafi ipo na local channel zote zipo na ukinunua unapata ofa ya mwezi mmoja unatazama channeli zoteUnalipjae mkuu?
Vp wasafi tv na dizzim tv zipo?
Ila kulipa lazma uwe na mtu wa malawi akulipie?kile kifurushi cha 18000 nalipa 8000/- Dizzim waliitoa azam ila wasafi ipo na local channel zote zipo na ukinunua unapata ofa ya mwezi mmoja unatazama channeli zote
ndio mkuu lazima uwe na mtu wa malawiIla kulipa lazma uwe na mtu wa malawi akulipie?
Mkuu hii chaneli mpya ya Utv inakamata?ndio mkuu lazima uwe na mtu wa malawi
Mkuu hii chaneli mpya ya Utv inakamata?
mkuu nimeangalia leo UTV ipo channel no 108Mkuu hii chaneli mpya ya Utv inakamata?