hivi nawezaje kucheki eligibity

hivi nawezaje kucheki eligibity

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
jamani hii kitu ya kuitwa enligibility ningepena niicheki kabisa this time(second round) je naweza kuiona hiyo enligibility?
 
jamani kila kitu si kimeandikwa kwenye profile yako?
 
jamani hii kitu ya kuitwa enligibility ningepena niicheki kabisa this time(second round) je naweza kuiona hiyo enligibility?

Baada ya kukidhi vigezo na kuandikiwa YES kwenye facult uliyochagua it means you are eligible
 
duh! kama hivo mbona kazi ipo... coarse nlikuwa na yes kibao kwa first selection halafu wamentema
 
Back
Top Bottom