Hivi nchi hii redio gani inafaa kusikiliza?

Hivi nchi hii redio gani inafaa kusikiliza?

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
3,411
Reaction score
4,435
Maana nimeshachoka kusikiliza miziki ya hovyo na mpira

Mwenye hii comment kanigusa sana

Redio zinashindana kua na michezo ya kamari kila redio ina ina michezo ya kubahatisha

Screenshot_2024-08-06-22-18-16-856_com.instagram.android-edit.jpg
 
Redio zipi nyingi chagua itakayokufaa kwa muda huo wakikukera hama station
Kusema kwamba unapenda radio Moja tu utakua bored
 
inabidi redio za mambo ya siasa, uchumi, maendeleo ziongezeke

demand kubwa kuliko supply

ila sasa utaweka tangazo la sportpesa kwenye habari kuhusu uchaguzi?
nadhani habari za maendeleo hazina hela
 
Radio iliyobaki na yenye vipindi vizuri kuanzia asubuhi hadi jioni ni U - FM 107.3

Radio nyingine zilizobaki ni TAKATAKA
 
Back
Top Bottom