Hivi nchi hii redio gani inafaa kusikiliza?

Redio zipi nyingi chagua itakayokufaa kwa muda huo wakikukera hama station
Kusema kwamba unapenda radio Moja tu utakua bored
 
inabidi redio za mambo ya siasa, uchumi, maendeleo ziongezeke

demand kubwa kuliko supply

ila sasa utaweka tangazo la sportpesa kwenye habari kuhusu uchaguzi?
nadhani habari za maendeleo hazina hela
 
Radio iliyobaki na yenye vipindi vizuri kuanzia asubuhi hadi jioni ni U - FM 107.3

Radio nyingine zilizobaki ni TAKATAKA
 
Anguka na Safina.๐Ÿ™‚๐Ÿ™‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ