Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hivi hata nchi nyingine zinafanya hivi hivi kama Tanzania inavyofanya?
Stendi za Mwendokasi zilizojengwa Juzi tu eti leo zinakarabatiwa! Halafu wanaotangaza kuzikarabati ndio wale wale waliozijenga.
Yaani Tangu Uhuru hadi Kiama ni Ukarabati tu! haya mambo yataisha lini au ni njia yao ya kupiga hela?