Hivi nchi ya Tanzania itamaliza lini Ukarabati?

Hivi hata nchi nyingine zinafanya hivi hivi kama Tanzania inavyofanya?

Stendi za Mwendokasi zilizojengwa Juzi tu eti leo zinakarabatiwa! Halafu wanaotangaza kuzikarabati ndio wale wale waliozijenga.

Yaani Tangu Uhuru hadi Kiama ni Ukarabati tu! haya mambo yataisha lini au ni njiavyao ya kupiga hela?

View attachment 2778548
Zingatia maokoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kituo cha mwendokasi feri kinatanuliwa ili kiweze kuwa na uwezo wa kupokea mabasi mengi kwa wakati mmoja sasa tatizo lipo wapi! Halafu wabongo njaa na roho za kwanini ndiyo tatizo letu kwa sababu huyo anayelalamika leo kesho akipata hiyo nafasi ndio anafanya balaa kuliko huyo aliyetoka.
Wabongo wengi hatuna kitu kinachoitwa uaminifu kwenye masuala ya fedha,huo ndio ukweli.
 
Hivi hata nchi nyingine zinafanya hivi hivi kama Tanzania inavyofanya?

Stendi za Mwendokasi zilizojengwa Juzi tu eti leo zinakarabatiwa! Halafu wanaotangaza kuzikarabati ndio wale wale waliozijenga.

Yaani Tangu Uhuru hadi Kiama ni Ukarabati tu! haya mambo yataisha lini au ni njiavyao ya kupiga hela?

View attachment 2778548
hivi kuna nchi duniani imemaliza ukarabati
 
Hivi hata nchi nyingine zinafanya hivi hivi kama Tanzania inavyofanya?

Stendi za Mwendokasi zilizojengwa Juzi tu eti leo zinakarabatiwa! Halafu wanaotangaza kuzikarabati ndio wale wale waliozijenga.

Yaani Tangu Uhuru hadi Kiama ni Ukarabati tu! haya mambo yataisha lini au ni njiavyao ya kupiga hela?

View attachment 2778548
Nch ipi duniani inayomaliza kukarabati na kuboresha miundombinu?

Utamalizika wewe, ukarabati hauishi.

Tena sasa hivi siyo kukarabati, mama anafanya Rebuilding.

Upo hapo ulIpo?
 
Kituo cha mwendokasi feri kinatanuliwa ili kiweze kuwa na uwezo wa kupokea mabasi mengi kwa wakati mmoja sasa tatizo lipo wapi! Halafu wabongo njaa na roho za kwanini ndiyo tatizo letu kwa sababu huyo anayelalamika leo kesho akipata hiyo nafasi ndio anafanya balaa kuliko huyo aliyetoka.
Wabongo wengi hatuna kitu kinachoitwa uaminifu kwenye masuala ya fedha,huo ndio ukweli.
Kwahiyo unakiri mapungufu ya jenga jenga kila wakati , ila kwa vile unaamini na mimi nikipata upenyo nitaiba basi unaona hata leo wanaoiba ni sawa !
 
Sikiri,ila naamini mtu mwenye njaa mara nyingi anakuwa na roho mbaya na mawazo yake kila saa anahisi watu wanaiba tu basi na yeye anatamani ile nafasi aipate yeye naye aibe na kweli ikitokea akaipata hiyo nafasi basi lazima liwe jizi la hatari.
Punguza roho ya kwanini utateseka tu.
 
Hivi hata nchi nyingine zinafanya hivi hivi kama Tanzania inavyofanya?

Stendi za Mwendokasi zilizojengwa Juzi tu eti leo zinakarabatiwa! Halafu wanaotangaza kuzikarabati ndio wale wale waliozijenga.

Yaani Tangu Uhuru hadi Kiama ni Ukarabati tu! haya mambo yataisha lini au ni njia yao ya kupiga hela?

View attachment 2778548

Ukarabati/ukarafati ni kama vile kuzaana na kufa, ni vitu vya endelevu.
 
Sikiri,ila naamini mtu mwenye njaa mara nyingi anakuwa na roho mbaya na mawazo yake kila saa anahisi watu wanaiba tu basi na yeye anatamani ile nafasi aipate yeye naye aibe na kweli ikitokea akaipata hiyo nafasi basi lazima liwe jizi la hatari.
Punguza roho ya kwanini utateseka tu.
Hatutanyamazishwa
 
Nch ipi duniani inayomaliza kukarabati na kuboresha miundombinu?

Utamalizika wewe, ukarabati hauishi.

Tena sasa hivi siyo kukarabati, mama anafanya Rebuilding.

Upo hapo ulIpo?
Ok,ehe hapo mmetenga mabilion mangapi kwa ajili ya ukarabati

Ova
 
Kituo cha mwendokasi feri kinatanuliwa ili kiweze kuwa na uwezo wa kupokea mabasi mengi kwa wakati mmoja sasa tatizo lipo wapi! Halafu wabongo njaa na roho za kwanini ndiyo tatizo letu kwa sababu huyo anayelalamika leo kesho akipata hiyo nafasi ndio anafanya balaa kuliko huyo aliyetoka.
Wabongo wengi hatuna kitu kinachoitwa uaminifu kwenye masuala ya fedha,huo ndio ukweli.

Tatizo ni kwamba viongozi wetu hawana plan za muda mrefu, kituo kama cha feri ilibidi kijengwe kikubwa toka mwanzoni maana popn inaongezeka, kuvunja ili kukipanua tena ni uchezeaji wa pesa za umma.

Sitoshangaa kuona barabara ya Mwenge-Morocco ikivunjwa 2025 kwaajili ya kuweka flyover.

Hatuna long plans
 
Back
Top Bottom