Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
DaaaahSasa watu watanunua vip Nyumba za Mbezi beach?
Ukisikia kula kwa urefu wa kamba, Sasa hiyo ni sehem ya kamba...
Lakini kilijengwa juzi tuKituo cha daladala kivukoni kuvunjwa na kuafanyiwa ukarabati mkubwa!
Ila wewe nae ni mpuuzi, kadiri kitu kinavyotumika kinachoka Sasa bila ukarabati unadhani itakuaje?Hivi hata nchi nyingine zinafanya hivi hivi kama Tanzania inavyofanya?
Stendi za Mwendokasi zilizojengwa Juzi tu eti leo zinakarabatiwa! Halafu wanaotangaza kuzikarabati ndio wale wale waliozijenga.
Yaani Tangu Uhuru hadi Kiama ni Ukarabati tu! haya mambo yataisha lini au ni njiavyao ya kupiga hela?
View attachment 2778548
Nchi zingine wanafanya kama hivyo ? yaani mnajenga vitu duni mnapiga hela , ili mkarabati keshokutwa ?Ila wewe nae ni mpuuzi, kadiri kitu kinavyotumika kinachoka Sasa bila ukarabati unadhani itakuaje?
Angalia shule za msingi,sekondari na vyuo za Umma zilovyochoka Kwa sababu hazipati pesa ya ukarabati
Hilo la kusema unajenga kitu duni ni issue nyingine na Haina uthibitisho wa Moja kwa Moja.Nchi zingine wanafanya kama hivyo ? yaani mnajenga vitu duni mnapiga hela , ili mkarabati keshokutwa ?
Ukarabati ndio sehemu yetu ya kujipatia ugali wa ziadaHivi hata nchi nyingine zinafanya hivi hivi kama Tanzania inavyofanya?
Stendi za Mwendokasi zilizojengwa Juzi tu eti leo zinakarabatiwa! Halafu wanaotangaza kuzikarabati ndio wale wale waliozijenga.
Yaani Tangu Uhuru hadi Kiama ni Ukarabati tu! haya mambo yataisha lini au ni njiavyao ya kupiga hela?
View attachment 2778548
ukarabati ni jambo lisilokwepeka iwe kwa gari yako, nyumba yako n.kHivi hata nchi nyingine zinafanya hivi hivi kama Tanzania inavyofanya?